Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Acha uongo Basi Dejan alikuwa wa Moto ligi gani ?Nimekuwa nikifuatilia sana washambuliaji wengi wanaosajiliwa simba wakitokea nje ya Tanzania kushindwa kuonyesha makali wakati huko walikotoka walikuwa moto.
Mfano ni huyu mzungu aitwae Dejan, huyu jamaa kabla hajasajiliwa simba alikuwa anakiwasha sana, kumzuia Dejan ilihitaji akili ya ziada, ana nguvu, mashuti na spidi.Dejan anafunga popote.
Alipoletwa Simba akawa kichekesho.
Leo Dejan ana moto sio wa kawaida ligi ya Serbia.
Anafunga mabao ya hatari mno.
Mwingine ni Pa Omary Jobe.
Jobe kwa sasa sio kichekesho tu ni kituko ch mwaka.
Lakini kabla hajaja Simba rekodi zake ni za moto mno.
Mwanaume huyu amecheza ligi mbalimbali lkn hap bongo amefeli.
Wapo wengi lkn nmeanza na hawa, kuna mchezo wanafanyiw hawa
Takwimu za Jobe kwenye timu ipi za msimu you ?
Mbona huwazungumzii Emanuel Okwi, Meddie Kagere na Mugalu ?