Washambuliaji raia wa kigeni wanaosajiliwa Simba wanapatwa na nini hadi wanaonekana wa mchongo

Acha uongo Basi Dejan alikuwa wa Moto ligi gani ?

Takwimu za Jobe kwenye timu ipi za msimu you ?

Mbona huwazungumzii Emanuel Okwi, Meddie Kagere na Mugalu ?
 
Kwa mtazamo wako, huyu samaki wa Simba kaaza kuoza wapi?
1.Bichwa,(mfadhili na viongozi).2.mashabiki, 3.wachezaji. Swali fikirishi kwanini mashabiki hawana sauti? Je wanajua kama hawana sauti, mimi nasemaz hawana sauti na Ndiyo maana hawana furaha
 
Kwa hiyo Simba waliwahonga Al-Ahly Miquison akafunga goli? Miquison alisajiliwa na Ahly baada ya kuwasumbua na kufunga goli club bingwa Africa
 
1.Bichwa,(mfadhili na viongozi).2.mashabiki, 3.wachezaji. Swali fikirishi kwanini mashabiki hawana sauti? Je wanajua kama hawana sauti, mimi nasemaz hawana sauti na Ndiyo maana hawana furaha
Sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…