Washambuliaji wa kitanzania wanapaswa kujifunza kwa Mayele

Daah watu mna roho ngumu ka mnazo pea mbili, hivi pamoja na utumbo aliocheza mayele lakini mmekuwa wepesi kuridhika kwasababu kafunga goli moja?

Mchezaji ambaye alikuwa katika position ya kufunga magoli 6 ya wazi na kayakosa kabahatika kufunga moja na lingine la offside lakini hiyo ikatosha kupewa dhamana na kuonekana star?

Mayele ni mchezaji wa msimu, hapo katikati alifichika nikajua yanga wamemuuza kisirisiri kumbe hadi mechi anacheza ila ndo hivyo upepo umemwendea vibaya kila mechi anafichika.

Mayele muda wote akipewa mpira alikua mzito sana kukimbia, lakini alipofunga goli nilishangaa kumuona jamaa akikimbia ka speed ya light kwenda kwa mashabiki kushangilia.
Inaonyesha Bange ulianza kuvuta ukubwani
 
Wacha wajipe moyo yani huyo mayele hana lolote semaaa ndo hivyo washamchukua na walishampamba sana kabla hata ya mechi mbili sasa ndo wanaona utopolo wake muda huu ..
 
Mayele ni mtu mmoja ambaye anapenda kucheza na jukwaa, inaonekana zile sifa alizopewa baada ya kuifunga simba zilimlevya

Mpira wa janawaliocheza yanga hata angeingia peter msechu ange ng'aa , wale madogo ni wachanga sana kiufupi wamezidiwa hata na ken gold ya chunya
 
kuna wakati ukweli unatakiwa kusemwa wala haijalishi utauma vipi. Mshambuliaji wa yanga Fiston Kalala Mayele ni high class, haina budi washambuliaji wengine kujifunza hasa yule kijana Bob Marley kutoka simba..

Kupitia mechi ya leo yanga vs Mbeya Kwanza, unaona namna Mayele anavyokuwa hatari hata Kama hatofunga. Kwenye Box la mbeya kwanza karibu movement za hatari zote amehusika kwa kiasi kikubwa.

Ana hasira na lango, hachoki na wala haridhiki kabisa, Wenzie akina Bob Marley huko mpka sasa hakuna cha maana walichofanya zaidi ya kukimbia kama mwizi uwanjani. Nikiwa kama simba kindakindaki nashauri haya kwa wachezaji wetu tusije aibika tena tarehe 11.

Hivyo haina budi kina kagere na strikers wengine wajifunze kwa mayele. He is another level.

NB: tuzo ya jana Messi hakustahili kabisa aucho alifaa [emoji16][emoji16]

Kama kipimo cha Mayele ni ufungaji wa timu za kombe la Mbuzi sawa . Lakini Trust me mayele hana kiwango anachopaishwa. Utakuja kuona mkicheza shirikisho au champion league .

Ile timu wa watoto ya Somalia tu, alishindwa kuwafunga ..... naomba kusemba mayele ni kama Mwanajeshi ambae hajawahi kupigana vita hata siku moja , maana yake ni Inactive soldier
 
Naomba jumlisha idadi ya boko boko, na Wenzie kama wanamfikia..

Eti trust me kolo wewe utatuambia nini?
 
Back
Top Bottom