Washambuliaji wa Yanga SC - Fiston Mayele vs Lazolous Kambole

Washambuliaji wa Yanga SC - Fiston Mayele vs Lazolous Kambole

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Mimi mtu akiniuliza kati ya Kambole na Mayele; Who is the best Striker (Mshambuliaji bora)? Kwangu mimi nitasema Kambole ni bora kuliko Mayele

Kama una angalia video za nyuma kabisa za huyu Kambole yaani video ambazo kipindi yupo Zesco, huyu bwana alikuwa atari saana

Na alivyo kwenda South sio kwamba kiwango chake kilishuka, hapana inaonekana huyu walimuona wa kawaida sana mpaka wakapoteza confidence yake

Yanga wakitumia fursa hii vizuri kumtengeneza huyu bwana vizuri hakika watakuwa na mchezaji mzuri saana na inawezekana akarudi kwenye ubora wake

Kwanini na sema Kambole ni bora kuliko Mayele? Kambole ana jua how to shoot mpira kwa hiyo Kambole anaweza kukufunga hata nje ya inbox

Kitu ambacho Mayele hawezi kama ulikuwa una fuatilia mpira vizuri si dhani kama kuna goal Mayele aliwahi kufunga akiwa outbox goli zake nyingi amefunga akiwa inbox

Kambole wa Zesco alikuwa na umakini wakufunga saana. Kitu ambacho kwangu naona Mayele ana umakini mdogo saana. Kama ulikuwa una cheki vizuri mpira magoli mengi ya Mayele yalikuwa mipira ya kukutana nayo mfano ukipiga assist ana kimbilia kufunga

Lakini Mayele ukimpa mpira azuie alafu afunge mipira hiyo Mayele alikuwa ana shindwa saana na kama aliwahi kufunga goli hizo ni ndogo saana

FB_IMG_1657588329093.jpg
FB_IMG_1657588370243.jpg
 
Unawalinganisha vipi wachezaji wa timu moja? Tena huyo Kambole hata kumuona tu kwenye ligi yetu, bado!

Kwa nini tusifanye huu mlinganisho?

Mayele vs Kibu Denis
Mayele vs Meddie Kagere
Mayele vs John Bocco
Mayele vs Chris Mugalu
Mayele vs hao wachezaji wote 4 hapo juu, nk.
 
Sijui kwa nini fiston wengi wanamchukia..kweli mti wenye matunda ndio upigwao mawe
 
Unawalinganisha vipi wachezaji wa timu moja? Tena huyo Kambole hata kumuona tu kwenye ligi yetu, bado!

Kwa nini tusifanye huu mlinganisho?

Mayele vs Kibu Denis
Mayele vs Meddie Kagere
Mayele vs John Bocco
Mayele vs Chris Mugalu
Mayele vs hao wachezaji wote 4 hapo juu, nk.
Mayele vs Mdhunguu...
 
Back
Top Bottom