Washambuliaji wengi wa Tz hawana uwezo wa kuamua mechi

Kwenye uchambuzi wako ungetuwekea na timu za Africa zenye washambuliaji wenye uwezo wa kumaliza mechi. Hakuna timu hiyo kuna uhaba wa Washambuliaji. Huko Ulaya penyewe pale Chelsea, Arsenal, Madrid wanaotamba ni viungo.
 
Wapi umeona tumemfanisha Chama na Torres we kweli chura popoma mwezako kamlinganisha Torres na okra afu ulivyo mpuzi anakwambia fainaili ya Euro Germany na Spain imechezwa 2010
Kuna mahala kasema okrah na Torres wanafanana kuku wewe?
 
Sasa hivi hatuzalishi.wachezaji, tuliobahatika kumwona Zamoyoni akicheza pale angefunga goli nyingi
 
Nikweli wanakimbia Kama mende
 
Hapana mkuu,nafasi nyingine ni za wazi sana tusiwatetee wachezaji wazembe,hawatajifunza kamwe.

Zile nafasi za Saido na Kibu zilikuwa ni za wazi kabisa,utulivu ulikosekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…