Washanila kichwa tayari

Mbona wamekuanzishia mapema hivyo. Mimi kuna line ya voda na ipo fresh tu
 
Sasa mkuu mbona unaweka number ya Kyatika hadharani?
 
Sasa kama wamekula kichwa mbona unaitumia kuperuzi hapa JF. Au wanazima kupiga simu na kutuma SMS pekee?
Hapa ninatumia Airtel laini 2...lain 1 ambayo ni voda ndo hivyo hata nikiwasha data haifanyi kazi... Ila mtandao unasoma kama kawaida
 
Hapa ninatumia Airtel laini 2...lain 1 ambayo ni voda ndo hivyo hata nikiwasha data haifanyi kazi... Ila mtandao unasoma kama kawaida
Pole sana mtanzania mwenzangu. Vipi hiyo Airtel ushaisajili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…