Washanila kichwa tayari

Washanila kichwa tayari

Drone Camera

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
14,041
Reaction score
13,907
Kuna watu tupo pamoja au ndo nimeanziwa mimi. Mtandao wangu ni voda. Si nilisikia shoo inaanza tarehe ishirini?

Screenshot_2020-01-17-16-17-18.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wamekuanzishia mapema hivyo. Mimi kuna line ya voda na ipo fresh tu
 
Sasa kama wamekula kichwa mbona unaitumia kuperuzi hapa JF. Au wanazima kupiga simu na kutuma SMS pekee?
Hapa ninatumia Airtel laini 2...lain 1 ambayo ni voda ndo hivyo hata nikiwasha data haifanyi kazi... Ila mtandao unasoma kama kawaida
 
Hapa ninatumia Airtel laini 2...lain 1 ambayo ni voda ndo hivyo hata nikiwasha data haifanyi kazi... Ila mtandao unasoma kama kawaida
Pole sana mtanzania mwenzangu. Vipi hiyo Airtel ushaisajili?
 
Back
Top Bottom