Washauri anaoendelea kuwashikiria rais Samia siku si nyingi watampeleka shimoni

Washauri anaoendelea kuwashikiria rais Samia siku si nyingi watampeleka shimoni

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Wakuu mnasemaje juu ya washauri wa mama? Maana namna wanavympeleka na mashauri yao mbona kama mashimo yao yapo hadharani sana? Nae haongezi chochote, ana beba ushauri kama ulivyo.
Tumpe kwanza heshima yake Masoud Kipanya!

ddd.jpg
 
View attachment 3443624
Bashungwa IGP Mbowe na Amos makala kwa manufaa yao wamemshauri Aendelee kumtesa lisu Gerezani maana uwepo wa Lisu jela umewanufaisha sana kwa mabilioni waliyogawana pesa iliyotolewa kwa ajili ya kupoza joto la Siasa , kuidhoofisha chadema kwa mbowe kuwauzia G55 na wao kuwasukumiza kwa Chauma ubwabwa ambapo napo wanakula 10% kila cent inatoka ccm kwenda chauma, chawaccm wanapenda Uonevu na kwenye Uonevu wa kufungia kanisa la Gwajima napo wamekula pesa nyingi kwa kazi ya kumsaka Gwajima abambikiwe kesi kubwa kama Lisu
 
Mateso kwa wakosoaji wa Serikali ya ccm ni fursa ya kupigia pesa toka ccm kwa chawaccm wachache ambao baada ya kuona mwaka wa uchaguzi wametumia fursa hizo kumchochea mama Kaburu afanye vitu vya hovyo wakijua wananchi wanaichukia Serikali ya ccm ndipo wanaomba mabilioni kwa kisingizio cha kupoza joto la Siasa
 
Back
Top Bottom