tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Bashungwa IGP Mbowe na Amos makala kwa manufaa yao wamemshauri Aendelee kumtesa lisu Gerezani maana uwepo wa Lisu jela umewanufaisha sana kwa mabilioni waliyogawana pesa iliyotolewa kwa ajili ya kupoza joto la Siasa , kuidhoofisha chadema kwa mbowe kuwauzia G55 na wao kuwasukumiza kwa Chauma ubwabwa ambapo napo wanakula 10% kila cent inatoka ccm kwenda chauma, chawaccm wanapenda Uonevu na kwenye Uonevu wa kufungia kanisa la Gwajima napo wamekula pesa nyingi kwa kazi ya kumsaka Gwajima abambikiwe kesi kubwa kama LisuWakuu mnasemaje juu ya washauri wa mama? Maana namna wanavympeleka na mashauri yao mbona kama mashimo yao yapo hadharani sana? Nae haongezi chochote, ana beba ushauri kama ulivyo.
Tumpe kwanza heshima yake Masoud Kipanya!
View attachment 3443624
Unajuaje ni washauri na si yeye mwenyewe?Wakuu mnasemaje juu ya washauri wa mama? Maana namna wanavympeleka na mashauri yao mbona kama mashimo yao yapo hadharani sana? Nae haongezi chochote, ana beba ushauri kama ulivyo.
Tumpe kwanza heshima yake Masoud Kipanya!
View attachment 3443624
Ni akina nani hao washauri?Wakuu mnasemaje juu ya washauri wa mama? Maana namna wanavympeleka na mashauri yao mbona kama mashimo yao yapo hadharani sana? Nae haongezi chochote, ana beba ushauri kama ulivyo.
Tumpe kwanza heshima yake Masoud Kipanya!
View attachment 3443624
Mbowe IGP Bashungwa na chawaccmNi akina nani hao washauri?