Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Mbowe anasemwa kwa maneno yote, kutoka kuheshimika kwa wasomi na wasio wasomi, sasa anadharaulika mpaka kwa wanafunzi wa primary school huko
Si muige hata kwa wachaza mpira? Mchaza mpira ikifika pahala akaona kipaji chake ni kama kimeanza kushuka kwa kutumika miaka mingi, hustaafu kucheza na si kwamba ndio kashindwa kabisa kucheza, la, bali anatunza heshima yake
Kwa Mh. Mbowe, huwenda akadharauliwa mpaka na kaya yakwe!
Washauri wa Mbowe mko wapi? Mbona mnamtia aibu mwenyekiti mpendwa wetu wa zamani?
Mitandao yote imechafukwa kumsema Mbowe bado mpo mpo tu na hammumwambii ukweli
Ama kweli siku ya kufa nyani, miti yote huteleza