Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,419
Rais Magufuli ni mtu anayependa Kiswahili na huwa anapambana sana kukidumisha na kukikuza lakini cha ajabu anapokuwa na wageni wasiofahamu Kiswahili, ana hulka ya kuongea kiswa-nglish.

Kiingereza ni lugha ya malkia na ilikuja na meli kwahiyo ni vizuri akaongea lugha ya taifa inayoeleweka sababu wakalimani wapo.

Nukuu:
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
 
Ni aibu kwa rais wa nchi kama Tanzania, ambaye amesoma mpaka chuo kikuu kwa kiingereza, akaishi Ulaya, akafanya Phd kwa kiingereza halafu hajui kuongea kiingereza fasaha.

Rais wa nchi ndio kioo cha nchi, kiingereza kibovu cha Rais wetu ni aibu kwetu sisi sote. Wasaidizi wa rais wako wapi kumsaidia kumfundisha kiingereza kizuri.
 
Mmekosa hoja....Nyie hata kiswahili hamjui sembuse kingereza....!!Upinzani wengi ni vijana mpechempeche marioo wa mjini wapenda vya bure,kingereza wamekijulia Kwenye movie na nyimbo za kina Cellin Dione...Wanaume wa kweli hawezi ongea hoja za kijinga kama hizi...!!
 
Ni aibu kwa rais wa nchi kama Tanzania, ambaye amesoma mpaka chuo kikuu kwa kiingereza, akaishi ulaya, akafanya Phd kwa kiingereza halafu hajui kuongea kiingereza fasaha.

Rais wa nchi ndio kioo cha nchi, kiingereza kibovu cha rais wetu ni aibu kwetu sisi sote. Wasaidizi wa rais wako wapi kumsaidia kumfundisha kiingereza kizuri.
"Mbwa mzee hafundishi sheria" ....Wahenga walisema
 
Umesehau ndugu yangu. Huko kwenye neno direction ameongeza harufu ''s''. Infact yeye kila neno la kiingereza anadhani linaongezewa herufu ''s''. Nafwaaaaaaaaa!
Ndugu yangu macho_mdiliko hata wewe hujaandika lugha sahihi hapo juu. Hakuna binadamu mkamilifu. Ila ujumbe umeshafika kwa walengwa na washauri wa mjomba Pombe.
 
Lori la mkaa limetolewa gereji kwa majiribio, NI SHIDAA..!

Wamenishangza sana wale Wapambe wake na masuti waliovyaa..wanashangilia anapoharibu huyu Mtu wanapiga makofi. Niajabu sana nchi hii ilipofika.
 
Mmekosa hoja....Nyie hata kiswahili hamjui sembuse kingereza....!!Upinzani wengi ni vijana mpechempeche marioo wa mjini wapenda vya bure,kingereza wamekijulia Kwenye movie na nyimbo za kina Cellin Dione...Wanaume wa kweli hawezi ongea hoja za kijinga kama hizi...!!
Anazidiwa hata na mwanangu yuko level ,kweli kuwa uyaone
 
Hao wakalimani Kiingereza chao walisomea hapa hapa shule hizi hizi mfumo huu huu! Tena wana elimu za kawaida tu; PhD watazisikia tu. Iko shida ambayo haiwekwi bayana ili kupata ufumbuzi wa kudumu badala yake mnaishia kuzunguka mbuyu tu!
 
Nukuu:
"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
... halafu nukuu yako feki; hizo comma umeweka wewe; kwenye original speech hazimo kabisa!
 
Back
Top Bottom