Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Ni Tanzania tu maajabu kama haya hupatikana. Sasa piga mahesabu darasani alikuwa anafundishaje!Ex teacher,Phd holder,maajabu yanaendelea
"Mbwa mzee hafundishi sheria" ....Wahenga walisemaNi aibu kwa rais wa nchi kama Tanzania, ambaye amesoma mpaka chuo kikuu kwa kiingereza, akaishi ulaya, akafanya Phd kwa kiingereza halafu hajui kuongea kiingereza fasaha.
Rais wa nchi ndio kioo cha nchi, kiingereza kibovu cha rais wetu ni aibu kwetu sisi sote. Wasaidizi wa rais wako wapi kumsaidia kumfundisha kiingereza kizuri.
PhD holder? Ama kweli ukipenda kipofu utaita chongo!Hata hivyo kajitahidi
Ndugu yangu macho_mdiliko hata wewe hujaandika lugha sahihi hapo juu. Hakuna binadamu mkamilifu. Ila ujumbe umeshafika kwa walengwa na washauri wa mjomba Pombe.Umesehau ndugu yangu. Huko kwenye neno direction ameongeza harufu ''s''. Infact yeye kila neno la kiingereza anadhani linaongezewa herufu ''s''. Nafwaaaaaaaaa!
Anazidiwa hata na mwanangu yuko level ,kweli kuwa uyaoneMmekosa hoja....Nyie hata kiswahili hamjui sembuse kingereza....!!Upinzani wengi ni vijana mpechempeche marioo wa mjini wapenda vya bure,kingereza wamekijulia Kwenye movie na nyimbo za kina Cellin Dione...Wanaume wa kweli hawezi ongea hoja za kijinga kama hizi...!!
... halafu nukuu yako feki; hizo comma umeweka wewe; kwenye original speech hazimo kabisa!Nukuu:
"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"