technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Wakimshauri kinyume na anavyowaza, wanafukuzwa, hata ikiwa mimi nitamshauri/nitampa neno analotaka kulisikiaWashauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndi wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so pls Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.
Nani anadiriki kumshauri huyo mtu anayejua kila kitu??Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndi wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so pls Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.
Watu wameshamsoma, amepeleka mapai na wanajua anataka kusikia negative, wamempa majibu ya negative!Tatizo la Chadema ni moja mnataka msikie speech mnayoipenda nyie
Waambieni wabunge waliojifungia hakuna posho[emoji3]
ila leo kwa kweli kaongea utumbo kuliko siku nyingine zote.Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndi wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so pls Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.
Najua Rais ni taasisi kama mnamshauri anakataa bora mjiuzulu hamna kazi mnayofanya ebu angalieni effect za speech zake kwenye vyombo vya habari ya kimataifa kama BBC, VOA etc. na madhara ya speech zake kule WHO.
Hautaishi kwa mkateTatizo la Chadema ni moja mnataka msikie speech mnayoipenda nyie
Waambieni wabunge waliojifungia hakuna posho[emoji3]
Akili yako ni ya kulamba viatu vya JPM,kwishaaa!Mtoto mjinga ni mzigo kwa mama yake!Tatizo la Chadema ni moja mnataka msikie speech mnayoipenda nyie
Waambieni wabunge waliojifungia hakuna posho[emoji3]
Akikaa kimya mnasema kawa bubu,akiongea mnachukiaRais kauli zake zina nguvu sana ndio maana unaona zinafatiliwa sio tu Tanzania zaidi nje ya nchi clip zake zinazunguka zikiwa zimefanyiwa tafsiri ya lugha mbali mbali.
Acha ujinga wewe, tangu lini BBC, VOA n.k wakaipenda Afrika?Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndi wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so pls Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.
Najua Rais ni taasisi kama mnamshauri anakataa bora mjiuzulu hamna kazi mnayofanya ebu angalieni effect za speech zake kwenye vyombo vya habari ya kimataifa kama BBC, VOA etc. na madhara ya speech zake kule WHO.
Kwani ukiongea bila matusi unahisi hutasikilizwa? Malezi mabaya ya wazazi wako hayo!Acha ujinga wewe, tangu lini BBC, VOA n.k wakaipenda Afrika?
Siku zote hivyo vyombo vya habari vya wazungu asilimia kubwa vinatangaza mambo mabaya yanayohusu Afrika,
Je unaweza kueleza mambo mabaya aliyoelezea leo Raisi hadi useme eti Rais asiongee hadi CORONA ipite "pumbavu kabisa wewe "
Watu msiwe kama Bendera fuata upepo kwa kufikiri kila jambo linalofuata na wazungu ni zuri.
Wazungu hao ndio wameanzisha ushoga, usagaji, ndoa za jinsia moja na uchafu mwingine mwingi kwenye jamii.
Leo wewe mjinga unataka Rais aongee vitu vya kupendeza wazungu, unasikitisha sana.
Watanzania mnatakiwa kujua kwanza ajenda kwanza zilizopo kwenye huu ugonjwa ndio muhoji kama Rais anaongea ukweli au uongo.
Sent using Jamii Forums mobile app