Washauri wa Rais, naombeni mshaurini Rais anyamaze mpaka janga la COVID19 lipite

Washauri wa Rais, naombeni mshaurini Rais anyamaze mpaka janga la COVID19 lipite

Tena namsihi Rais JPM aendelee kuongea kila siku. WHO ni nani adi asisemwe? Vyomba vya habari ni kina nani hadi wasisemwe? Trump akiisema WHO mnashangilia, akivisema vyombo vya habari mnashangalia, ila JPM akisema inakuwa nongwa. Hao mnaowaogopa eti watasikia au watajisikia vibaya wana faida gani katika taifa ikiwa wanaleta testing kits ambazo zipo contaminated? Rais JPM sio muoga muoga kama nyie mnaowapigia magoti wazungu kila siku.
 
Speech yake ya leo baada ya kubandikwa tu na Pascal kwenye uzi wake,nikaipokea toka USA kwa WhatsApp,anyway madhara ya speech zake mkuu hayapo WHO tu bali hata hapa home.watu tutakufa sana kwa kuendelea kumuamini
Nasema Tanzania tumemkosea nini Mungu kwa kutuletea Rais utopolo namna hii? Kichaa si kichaa, kuropoka na kupayuka mwanzo mwisho.

Kweli hiki ni kituko
 
Tatizo la Chadema ni moja mnataka msikie speech mnayoipenda nyie

Waambieni wabunge waliojifungia hakuna posho[emoji3]
Siyyo chadema, ni kweli zinaacha maswali fikirishi kwa watu wanaotafakari...
Ikiwa imekuwa hivi kwa Corona, je tuendeleeje kuwa na imani na majibu mengine tunayopewa huko hospital kama ya cancer, kisukari na kadharika.. What if yanakuwaga ya uongo?
Je wa kulaumiwa nani ni madaktari au vifaa, na je Ummy mwalimu si inabidi ajiuzulu kuwajibika kwa hiki kinachoendelea?
Na je huko uwa wakipeleka sample wanapeleka nini hasa, makohozi? Damu?, Kinyesi? Mkojo?
Kama ni kimoja kati ya hivyo, basi fenesi halina, papai halina, hata kama mbuzi inakuwaje vipimo vyao vinashindwa tofautisha hii sample ya mbuzi si ya binadamu?
 
Tena namsihi Rais JPM aendelee kuongea kila siku. WHO ni nani adi asisemwe? Vyomba vya habari ni kina nani hadi wasisemwe? Trump akiisema WHO mnashangilia, akivisema vyombo vya habari mnashangalia, ila JPM akisema inakuwa nongwa. Hao mnaowaogopa eti watasikia au watajisikia vibaya wana faida gani katika taifa ikiwa wanaleta testing kits ambazo zipo contaminated? Rais JPM sio muoga muoga kama nyie mnaowapigia magoti wazungu kila siku.
Wewe Maboso unasema tu kwa sababu hujaona mgonjwa wa corona. Sasa subiri ikupate wewe shubaaaamit
 
Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndio wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so please Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.

Najua Rais ni taasisi kama mnamshauri anakataa bora mjiuzulu hamna kazi mnayofanya hebu angalieni effect za speech zake kwenye vyombo vya habari ya kimataifa kama BBC, VOA etc. na madhara ya speech zake kule WHO.

Atulie tu kwani anakosa nini kule Chato anyamaze janga la Corona litapita then tutarejea kwenye maisha ya kawaida kunyamaza kimya ni bora kuliko kuongea mambo yanayoacha maswali mengi zaidi ya majibu.

Rais kauli zake zina nguvu sana ndio maana unaona zinafuatiliwa sio tu Tanzania zaidi nje ya nchi clip zake zinazunguka zikiwa zimefanyiwa tafsiri ya lugha mbali mbali.
Hopeless! Anaongea na Watz haongei na mabeberu sisi ndiyo tunamhitaji siyo wewe na mabeberu wako.
 
Kama hayajavikwa Barakoa usile.
IMG-20200503-WA0030.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona haipo ni propaganda tu za mabeberu kutuonea wivu sie uchumi wetu unaokua kwa kasi kuliko China.Chapeni kazi,mashindano ya mpira ruksa
 
Bora mama Samia Mara Mia huyuu jiwe ni hatari waTanzania watakufa kwasababu ya maneno yake.
 
Ni Sawa na mtu kumwambia asihoji anapokuta mkewe kapika msosi usioendana na bajeti aliyoiacha, kwamba atajionaje endapo mkewe akimwambiwa kuna lijamaa huwa linatoa pesa

Ndicho unachoshauri mleta nyuzi siyo?

Yaani Raisi ashindwe kuuliza vitu ktk taifa analoliongoza na kuongea na Taifa kisa mdudu anayeitwa BBC?

kwamba watasemaje juu yake siyo?

atakuwa Raisi wa Aina gani SASA?

Acheni basi!!
 
Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndio wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so please Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.

Najua Rais ni taasisi kama mnamshauri anakataa bora mjiuzulu hamna kazi mnayofanya hebu angalieni effect za speech zake kwenye vyombo vya habari ya kimataifa kama BBC, VOA etc. na madhara ya speech zake kule WHO.

Atulie tu kwani anakosa nini kule Chato anyamaze janga la Corona litapita then tutarejea kwenye maisha ya kawaida kunyamaza kimya ni bora kuliko kuongea mambo yanayoacha maswali mengi zaidi ya majibu.

Rais kauli zake zina nguvu sana ndio maana unaona zinafuatiliwa sio tu Tanzania zaidi nje ya nchi clip zake zinazunguka zikiwa zimefanyiwa tafsiri ya lugha mbali mbali.
Inahitaji akili ya ziada na utulivu wa hali ya juu kumuelewa magufuli.

Hii ni vita ya 3 ya dunia
 
Back
Top Bottom