Washauri wa Rais, naombeni mshaurini Rais anyamaze mpaka janga la COVID19 lipite

Mfano wa sample ya papai kuwa na corona si hoja ya kujiuliza ni ujinga si ndio?
Ukitaka kujua issue ya corona mfuatilie mtu mmoja anaitwa Antony Fauci huko USA halafu utajua , anasema nini sasa 2020 na alisema nini 2017 huyu ni Dr bingwa wa maginjwa ya mlipuko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila leo kwa kweli kaongea utumbo kuliko siku nyingine zote.
hata MATAGA wenye akili japo kidogo watakuwa wameona aibu wao!
Kuna mtu anajiita BIA YETU, yeye alishakitoa kabisa kichwa chake!
 
Kwa hiyo kuwaambia ukweli kuwa wanaripoti uongo juu ya Tanzania wakati huko kwao wamezidiwa amefanya kosa?
 
Tatizo la Chadema ni moja mnataka msikie speech mnayoipenda nyie

Waambieni wabunge waliojifungia hakuna posho[emoji3]
POSHO versus AFYA BINAFSI YA MTU utajalinini kwanza...
 
Watu wameshamsoma, amepeleka mapai na wanajua anataka kusikia negative, wamempa majibu ya negative!
Hata Mimi ningekuwa mshauri wake nisingemshauri anyamaze. Atanifukuza. Ntamwacha ajinyonge mwenyewe huku Mimi nachungulia dirishani!
 
Kwani ukiongea bila matusi unahisi hutasikilizwa? Malezi mabaya ya wazazi wako hayo!

Kuna kitu umemisi nahisi, ingekuwa mtafiti huru opinion zatu huwa hazimkeli mwenye akili zake ila mwehu!
Nina malezi mazuri ndio ninajua cha kuandika kama ni kweli au sio kweli.
Siku hizi kumwambia mtu ukweli ndio matusi?,
Mleta mada ni mjinga pia ni pumbavu sababu ameandika kitu ambacho hakijui.
Huo ndio ujinga na pumba tu
 
Kwa hiyo kuwaambia ukweli kuwa wanaripoti uongo juu ya Tanzania wakati huko kwao wamezidiwa amefanya kosa?
Upo sahihi kabisa ndugu,
kila mtu sasa anataka kua mhariri wa hotuba za Rais, hotuba isipokua na maneno anayotarajia basi huyo mtu anasema Rais hafai au kakosea sana.

Hatuwezi kuwa na taifa la kijinga na kipumbavu namna hiyo kama mleta mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Speech yake ya leo baada ya kubandikwa tu na Pascal kwenye uzi wake,nikaipokea toka USA kwa WhatsApp,anyway madhara ya speech zake mkuu hayapo WHO tu bali hata hapa home.watu tutakufa sana kwa kuendelea kumuamini
 
Tatizo la Chadema ni moja mnataka msikie speech mnayoipenda nyie

Waambieni wabunge waliojifungia hakuna posho[emoji3]
Mkuu Mahiga,Getu na Ndassa wanaendelea kupokea posho? Just asking
 
Jamani tuwe waelewa alikuwa anatania tu hakuwa siriaz kwa sababu ingekuwa yuko siriaz asingejikarantini. Muwe waelewa na mjikarantini kwa wale wanaoweza, wasioweza tuchape kazi mwanzo mwisho likitukumba ni ajali kazini, am I right?
I second you point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…