hexacyanoferrate
JF-Expert Member
- May 15, 2014
- 1,232
- 792
Tatizo la Chadema ni moja mnataka msikie speech mnayoipenda nyie
Waambieni wabunge waliojifungia hakuna posho[emoji3]
Nasema Tanzania tumemkosea nini Mungu kwa kutuletea Rais utopolo namna hii? Kichaa si kichaa, kuropoka na kupayuka mwanzo mwisho.Speech yake ya leo baada ya kubandikwa tu na Pascal kwenye uzi wake,nikaipokea toka USA kwa WhatsApp,anyway madhara ya speech zake mkuu hayapo WHO tu bali hata hapa home.watu tutakufa sana kwa kuendelea kumuamini
Siyyo chadema, ni kweli zinaacha maswali fikirishi kwa watu wanaotafakari...Tatizo la Chadema ni moja mnataka msikie speech mnayoipenda nyie
Waambieni wabunge waliojifungia hakuna posho[emoji3]
Wewe Maboso unasema tu kwa sababu hujaona mgonjwa wa corona. Sasa subiri ikupate wewe shubaaaamitTena namsihi Rais JPM aendelee kuongea kila siku. WHO ni nani adi asisemwe? Vyomba vya habari ni kina nani hadi wasisemwe? Trump akiisema WHO mnashangilia, akivisema vyombo vya habari mnashangalia, ila JPM akisema inakuwa nongwa. Hao mnaowaogopa eti watasikia au watajisikia vibaya wana faida gani katika taifa ikiwa wanaleta testing kits ambazo zipo contaminated? Rais JPM sio muoga muoga kama nyie mnaowapigia magoti wazungu kila siku.
Hopeless! Anaongea na Watz haongei na mabeberu sisi ndiyo tunamhitaji siyo wewe na mabeberu wako.Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndio wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so please Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.
Najua Rais ni taasisi kama mnamshauri anakataa bora mjiuzulu hamna kazi mnayofanya hebu angalieni effect za speech zake kwenye vyombo vya habari ya kimataifa kama BBC, VOA etc. na madhara ya speech zake kule WHO.
Atulie tu kwani anakosa nini kule Chato anyamaze janga la Corona litapita then tutarejea kwenye maisha ya kawaida kunyamaza kimya ni bora kuliko kuongea mambo yanayoacha maswali mengi zaidi ya majibu.
Rais kauli zake zina nguvu sana ndio maana unaona zinafuatiliwa sio tu Tanzania zaidi nje ya nchi clip zake zinazunguka zikiwa zimefanyiwa tafsiri ya lugha mbali mbali.
Mataga wenyewe kina Bia Yetu?ila leo kwa kweli kaongea utumbo kuliko siku nyingine zote.
hata MATAGA wenye akili japo kidogo watakuwa wameona aibu wao!
Sio chadema ila umeona muhimili wa hiyo habari hapoTatizo la Chadema ni moja mnataka msikie speech mnayoipenda nyie
Waambieni wabunge waliojifungia hakuna posho[emoji3]
Umekula Papai Leo?Kwani imekuaje jamani? Angalau aya tano tu ya kilichotokea
Na pia nasikia yeye ndo anawashauriWakimshauri kinyume na anavyowaza, wanafukuzwa, hata ikiwa mimi nitamshauri/nitampa neno analotaka kulisikia
Ivi Upinzani ni Chadema tu?Akikaa kimya mnasema kawa bubu,akiongea mnachukia
Chadema mnapata tabu sana awamu hii
Inahitaji akili ya ziada na utulivu wa hali ya juu kumuelewa magufuli.Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndio wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so please Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.