Swala la Kupendwa au kutopendwa na Manguruwe wala hata halihusiani na Mada..Mzee wako kazinguaAcha ujinga wewe, tangu lini BBC, VOA n.k wakaipenda Afrika?
Siku zote hivyo vyombo vya habari vya wazungu asilimia kubwa vinatangaza mambo mabaya yanayohusu Afrika,
Je unaweza kueleza mambo mabaya aliyoelezea leo Raisi hadi useme eti Rais asiongee hadi CORONA ipite "pumbavu kabisa wewe "
Watu msiwe kama Bendera fuata upepo kwa kufikiri kila jambo linalofuata na wazungu ni zuri.
Wazungu hao ndio wameanzisha ushoga, usagaji, ndoa za jinsia moja na uchafu mwingine mwingi kwenye jamii.
Leo wewe mjinga unataka Rais aongee vitu vya kupendeza wazungu, unasikitisha sana.
Watanzania mnatakiwa kujua kwanza ajenda kwanza zilizopo kwenye huu ugonjwa ndio muhoji kama Rais anaongea ukweli au uongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakimshauri kinyume na anavyowaza, wanafukuzwa, hata ikiwa mimi nitamshauri/nitampa neno analotaka kulisikia
Wakimshauri kinyume na anavyowaza, wanafukuzwa, hata ikiwa mimi nitamshauri/nitampa neno analotaka kulisikia
Niambie alichoongea leo,kipo sahihi kwa yeye kuongea vile!?Akikaa kimya mnasema kawa bubu,akiongea mnachukia
Chadema mnapata tabu sana awamu hii
Sisi tunashikiliza watalam, hatusikilizi Wana siasa. Wanasiasa tunawahaam,Speech yake ya leo baada ya kubandikwa tu na Pascal kwenye uzi wake,nikaipokea toka USA kwa WhatsApp,anyway madhara ya speech zake mkuu hayapo WHO tu bali hata hapa home.watu tutakufa sana kwa kuendelea kumuamini
Yaani ukiangali kitu mataifa ya nje yana fanya kuhusu corona halafu ukisikiliza ngonjera za viongozi wa Tanzania, nakumbuka kile kitabu cha Mzee Shaaban Robert cha nchi ya kusadikika.Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndio wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so please Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.
Najua Rais ni taasisi kama mnamshauri anakataa bora mjiuzulu hamna kazi mnayofanya hebu angalieni effect za speech zake kwenye vyombo vya habari ya kimataifa kama BBC, VOA etc. na madhara ya speech zake kule WHO.
Atulie tu kwani anakosa nini kule Chato anyamaze janga la Corona litapita then tutarejea kwenye maisha ya kawaida kunyamaza kimya ni bora kuliko kuongea mambo yanayoacha maswali mengi zaidi ya majibu.
Rais kauli zake zina nguvu sana ndio maana unaona zinafuatiliwa sio tu Tanzania zaidi nje ya nchi clip zake zinazunguka zikiwa zimefanyiwa tafsiri ya lugha mbali mbali.
Kuna uwezekano hata hao washauri wake anahisi wanatumika na mabeberu!
Imagine mpaka watumishi wa Afya wanahisiwa wanatumika na mabeberu!!
Katulia Tumepumua
Ngoja arudi afungue ligi za mpira na shule, kimya kingi kina mshindo mkuuKatulia Tumepumua
Yaani ukiangali kitu mataifa ya nje yana fanya kuhusu corona halafu ukisikiliza ngonjera za viongozi wa Tanzania, nakumbuka kile kitabu cha Mzee Shaaban Robert cha nchi ya kusadikika.
Kuna mazingaombwe mengi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Chadema ni moja mnataka msikie speech mnayoipenda nyie
Waambieni wabunge waliojifungia hakuna posho[emoji3]
Washauri wako chato[emoji23]Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndio wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so please Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.