Washauri watatu wa zamani wa Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye watupwa gerezani kwa tuhuma za uhaini

Washauri watatu wa zamani wa Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye watupwa gerezani kwa tuhuma za uhaini

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Katika hatua iliyoibua gumzo nchini Burundi, washiriki watatu waandamizi wa timu ya ushauri ya Rais Evariste Ndayishimiye wamejikuta gerezani katika Gereza Kuu la Mpimba, Bujumbura, wakikabiliwa na tuhuma za uhaini.

Miongoni mwa waliotiwa mbaroni ni Baribonekeza Jean Baptiste, aliyewahi kuwa mshauri wa masuala ya Haki na Utawala, Sibomana Cyrille, aliyesimamia shughuli za kutunga sheria, na Harerimana Arcade.

Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Ikulu, maafisa hao walifutwa kazi baada ya kuripotiwa kuwa walihusika katika kuachia huru wahalifu ambao hawakuwemo kwenye orodha ya wafungwa zaidi ya 5,000 waliokuwa wamepewa msamaha wa Rais.

Baribonekeza aliteuliwa kushika nafasi hiyo Oktoba 2023, akirithi nafasi ya Tabu Révocat, aliyefutwa kazi kwa madai ya kumshauri Rais kuhama kwenda Tanzania kwa hofu ya usalama wake, mara baada ya kurejea kutoka ziara nchini Cuba.

Burundi .png

========================================================

Three senior officials from the Burundian presidency—Jean Baptiste Baribonekeza, Cyrille Sibomana, and Arcade Harerimana—have been dismissed and accused of treason, according to a presidential decree issued on Thursday. They are alleged to have unlawfully released prisoners convicted of serious crimes such as rape and murder, who were not eligible for the presidential pardon.

Baribonekeza, the former head of legal affairs and governance in the president's office, Sibomana, a close associate of First Lady Angeline Ndayishimiye and head of legal monitoring, and Harerimana, a legal advisor overseeing state litigation, all served under the department of legal affairs and governance.

The decree cites their actions as a breach of trust and states that their dismissal is part of maintaining integrity in the implementation of presidential clemency.
 
Uhaini n hatari.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom