Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Tusilaumu tu na kuwaona watu hawako sawa kwa matendo yao huko mlimani... Huenda hali ya hewa ya baridi kali kule juu ndo inawapelekea kufanya hivyo wakidhani watapata nafuu au jotoridi la mwili litakaa sawa.
Tufikiri kabla ya kuhukumu kwa kutumia kauli ndugu watanzania wenzangu.
Tufikiri kabla ya kuhukumu kwa kutumia kauli ndugu watanzania wenzangu.