Washauriwa wasifanye ngono Mlima Kilimanjaro

Tusilaumu tu na kuwaona watu hawako sawa kwa matendo yao huko mlimani... Huenda hali ya hewa ya baridi kali kule juu ndo inawapelekea kufanya hivyo wakidhani watapata nafuu au jotoridi la mwili litakaa sawa.

Tufikiri kabla ya kuhukumu kwa kutumia kauli ndugu watanzania wenzangu.
 
It's true
Partial pressure of oxygen decrease with the increase in altitude as a result the amount of oxygen in the body decrease
 
Hata kama wanakuwa na hamu zilizopitiliza,wameelezwa kwamba kiafya ni hatari.Pia wanavunja sheria kwa kufanya ngono hadharani.Naamini kule mlimani hakuna hifadhi/nyumba/vyumba zaidi ya mahema madogomadogo tu ambayo hayatoi faragha ya kutosha.
 
Kuna uzi humu wa muda kidogo ulikuwa unaeleza kuhusu sehemu hatarishi na za kushangaza/kuchekesha watu walizowahi kula matunda yao kimasihara ni vituko vitupu.
Ngono za kiwizi wizi huwa ni tamu hatari , na ndio sababu kuu ya uchepukaji .

Mimi kuna mtoto mmoja wa mjeshi nilisha mchakata ndani kwao baba yake akaja nikabana chumbani kwa binti mpka usiku wa manane , kiukweli mpaka leo sikuwahi pata utam kama ule.
 
Hata kama wanakuwa na hamu zilizopitiliza,wameelezwa kwamba kiafya ni hatari.Pia wanavunja sheria kwa kufanya ngono hadharani.Naamini kule mlimani hakuna hifadhi/nyumba/vyumba zaidi ya mahema madogomadogo tu ambayo hayatoi faragha ya kutosha.
Bin-Adam tuna kasumba sana! Nafkiri humohumo kwenye mahema haja zinatekelezeka.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Watu mnaroho ngumu sana
 
Ndio maana mlima umepoteza tharuji kumbe watu wanamwagia Manii ZAO wakiwa wanabanduana, hii hata wazungu wanafanya especially HUKO mbugani wanasikia raha sana kubanduana machakani
 
Ungebambwa baba mkwe angekutwanga mikanda ya mgongo hadi uimbe kikwenu.πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…