Navyojua Azam mna mitambo mizuri, mikubwa na ya kisasa sana ila mnavyorusha mpira kule kaitaba mnaboa sana. Kamera haitembezwi kiwanja kizima, mda wote kamera iko na mpira masaa yote, hakuna kuona nje ya uwanja wala mabenchi ya ufundi.
Hakuna picha za kuchukua pitch toka juu wala utundu utundu wa kuchukua picha, ni full kuchoshwa tu na jinsi mnavyorusha picha zenu. Mnakuwa kama kamera zimefungiwa kwenye mti kwamba haiwezi kujigeuza yenyewe
Mitambo yenu ya kisasa sana ina kuwa haitumiwi na utility yake iko chini below standards ...mnapresent substandard kabisa