Washikaji tusome tuache kudeka, huyu muhadhiri tumemuonea

Fedhuli

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
351
Reaction score
123
Mimi ni mwanafunzi wa , mwaka wa 3 St. Augustine Mwanza, darasa letu tumefanya kitu kibaya sana yaani najuta kwa kushiriki, tumemfukuzisha kazi mhadhiri anayeitwa Nicas, kwa what i call hate, tuliunda tume ya kizushi kwenda kwa kDr. Charles Kitima kumwambia kwamba huyu mhadhiri hatumuelewi na anatutukana darasani kumbe kisa ni kwamba anafundisha somo fulani ambalo linaendana na hesabu halafu darasa zima tunaliogopa hilo somo ingawa ticha alikuwa anajitahidi kwa namna yake kutuelewesha. sasa ticha huyo amefukuzwa kazi na chuo. hapa chuoni kwetu sisi tunasikilizwa saana yaani tukimwambia tu mkuu wa chuo hatumtaki lecturer fulani basi ndani ya dkk kadhaa anafukuzwa kazi. tofauti na vyuo vingine mpaka sasa tumeshawafukuzisha lectureres 6 kazi, hivyo basi nawaomba wanajamii wenzangu mjaribu kuwashauri wanafunzi wenzetu tunachofanya si kizuri kwa sababu haya nia maisha na hii si namna nzuri ya kujifunza kwani walimu wa hapa SAUT wanajitahidi sana kufundisha na kuwa panctual tatizo ni sisi wanafunzi sometimes tunakuwa hatupo poaaaa.
 

fedhuli umemfedhuli lecturer wako..wewe pamoja na wenzako
 
Hilo ni tatizo la utawala mbovu inakuwaje kuchukua hatua bila utafiti? kesho na keshokutwa mtamsingizia Mhadhiri mwengine anataka kubaka mwenzenu. Kwa namna hii elimu ta Tanzania itafika kweli? ikiwa kizazi cha wasomi kiko hivyo jee kikiingia mtaani si itakuwa kuendeleza majungu tu! Hakuna wenye busara kati yenu? It is disgusting
 
ndo maana kuna lijamaa limoja limemaliza hapo eti kwenye Facebook likaweka post likifurahia raia kupigwa risasi kule Soweto ..kumbe tatizo c lake ila chuo alichosoma
 
Unapokea failures mwsho wa cku unategemea nn km cio kuwadekeza wa2??ovyo
 
Mnalea ulegelege na udhaifu
 
Sasa si usimame hapo hapo darasani kwako uwaambie wenzako kuwa mnachofanya sicho? Mpaka upitie huku? Madogo (inawezekana pia ni wazee wenzetu), maisha sivyo kama mnavyoyafikiria, mkianza kutoa hela ya chumvi majumbani kwenu ndio mtajua.....
 
Mtavuna mlichopanda asilimia 60 wa miaka iliyopita nyinyi!!! Asilimia 60 wa Prof. Maghembe nyie...
 
it doesnt make sanse,too late jamaa mmeshamfukuzisha kazi.
 
Halafu tukiweka uzi kuelezea sifa za kila wanachuo na chuo chake watu wanakuwa wakali, haya wenyewe wamekuja kujionesha na bado wa vyuo vingine wakijisahau watakuja kujionesha humuhumu.
 


Hicho mlichokifanya mtakijutia maishani. Mkija huku uraiani mtaipata fresh!!!, hizo tabia mnazozijenga hazita aaply kazini!!! Mtamaliza chuo kwa kubebwa na Mkuu wenu wa Chuo, lakini mtashindwa kukompete kazini na wenzenu waliomaliza vyuo vingine.
 
Ndo mana ni chuo cha kata, mambo hyo UDSM husikii kamwe. Mbwa nyie SAUT
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Stupid!!!! Dhambi hiyo itawaandama siku zote za maisha yenu mnamfukuzisha kazi mtu, mnaitesa familia yake kwa sababu za ubabe wenu. Na mlaaniwe milele zote.
 
Mimi ni mhadhiri chuo cha serikali, kuna kipindi niliombwa kufundisha part time kwenye chuo kimoja tawi la Tumaini University mwaka 2011/2012. Nilifundisha semester moja tuu next semester nikawaambia samahani siko tayari tafuteni mwingine.

Nilichogundua haraka haraka, ni kwamba wanafunzi wanamwendesha mwalimu wanavyotaka, alafu ni vilaza sijawahi kuona, yaani wanataka uwabembeleze kama vile unawafundisha tuition. Aaaaagh!!! bora niridhike na mshahara wangu na kama hautoshi nikalime mchicha lakini siyo kwa kudhalilishwa kiasi kile.
 
Tatizo biashara imeingia kwene elimu, custodian wa elimu ni nani? tafakari/
 

siwezi kushangaa kwa utumbo ulio ufanya kwasababu sifa kubwa ya SAUT ni chuo cha Umalaya,chuo cha mafelia,chuo cha wapenda starehe wakati nyumbani maisha duni,njoo makazi uone wahitimu wasauti walivyo sivyo na uwezo hata kujielezea..kumbe huu upuzi ukonyuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…