Washikaji tusome tuache kudeka, huyu muhadhiri tumemuonea

You and your colleagues can not survive on ignorance! Unfortunately this World lives on Mathematics!
 
St agust na tumaini ni majanga ya taifa. Hivi vyuo mwanafunzi akimaliza anachochua huwa ni chadema pekee yake ila maarifaya alichosomea huwa ni ma mbulula ndo maana hata product zake zilizo bungeni yaani namaanisha majali hana hoja zozote anchojua nikutukana tu
 
mtakoma,lazima yawakute,mnafikiri mtakuwa wanafunzi miaka yote?
 
mtakoma,lazima yawakute,mnafikiri mtakuwa wanafunzi miaka yote?

kaka mnayosema ni kweli kabisa, tunadeka na tunadekezwa mnooooooooo! Chuo kina walimu wazuri saana, tatizo hawatumiwi, sorry, mwalimu huyo anaitwa NICAS alikuwa anafundisha banking. Chuki binafsi za wanafunzi zinamfukizisha chuo, uongozi wa chuo unasema kwamba wanafunzi ni wateja wetu, kwa hiyo tutawasikiliza siku zoteee. Walimu hapa hawana sauti hata kidogo, kwanza hakuna chama cha wanataaluma, kwa sababu chuo hakitaki upuuzi huo. KILA MWEZI WA NANE MA CR WOTE WANAITWA BAADA YA KUFUNGA CHUO KUJADILI MWALIMU MMOJA BAADA YA MWINGINE, IKIYOKEA MMOJAWAPO HATAKIWI KWA KIGEZO CHOCHOTE EITHER CHUKI BINAFSI ANU COMPETENCE MWALIMU ANAFUKUZWA CHUO. Sorry, ninachoshangaa, ni pale Kitima anavyoichana serikali live wakati chuo chjake na uongozi wake si wakitaaluma hata kidogo, naishauri serikali ije kukagua ufundishaji na mwenedo wa chuo, thanks God mimi namaliza, lakini kuna badhi ya walimu huwa wanatuambia hatutaweza kukompiti kwenye labour market kwa ajili ya utoto wetu. TUBADILIKE WANA SAUT.
 
Yan mnaogopa HESABU mnamfukuza lecturer!? Huu si upum.bavu huu!! Mwanafunzi wa chuo unaeza fanya huu ujinga!! Na mtalaaniwa vilaza nyie!!
 
Mtalaaniwa!!!
 
Haya niliyo underline, yanaonyesha na wewe ni wale wale, kama Kiswahili unaandika hivi je, kiingereza itakuwaje? Unatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako wakati wewe una boriti???
 
Reactions: mka

pia hamjui kufundisha. Piga course postgraduate DUCE. Teaching is an art, learning is Science.
 

hahahaha thats too low!...vipi wewe ume soma wapi?... mbona hata andika yako ni shida?....
hata ujumbe wako hauna mantiki. pole
 
Reactions: mka
Haya niliyo underline, yanaonyesha na wewe ni wale wale, kama Kiswahili unaandika hivi je, kiingereza itakuwaje? Unatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako wakati wewe una boriti???

mm nazani hata usome udsm kama mtu ni mjinga ni mjinga tu....uwezo binafsi wa mwanafunzi bamoja na jitiada zake ndio vinaonyesha ubora wa mwanafunzia chuo kina changia asilimia chache.
 
Majali ndio nani?
 

Wewe sio mkweli. Namimi nimewahi kufundisha Tumani part time, nilifundisha na wanafunzi wapo waliofeli na sikuendeshwa. Kama ulifundisha ni dhahiri kuwa hukuwa mweledi wa somo lako wakakutoa. Nikikuliza viongozi wa nchi hii inayoyumba na maskini wamesoma wapi?
 
kwa nini usiwe mfano wa kupinga hao wenzio!kwamba munachofanya sio sahihi! Hiyo dhambi yenu itawarudia WNAFIKI nyie!
 
Dah jamani ila dr kitima ni mkali sana kapitiliza,kuna siku alikuja chuoni kwetu (tawi la SAUT)tuligoma tukidai hela ya special faculty maana ilikuwa inatumwa na bodi kila mwaka ila hatukuwahi kujua kazi yake na kumbukua mwisho wa siku tutailipa tu.sasa baada ya mgomo tukapewa,Kitima alikuja chuo kwetu kututukana mbaya na bado hela tukairudisha na akasema hiyo hela inatolewa kwenye malipo ya bodi instead tutailipa wenyewe chuoni ni ikawa hivyo kweli.huyo padri ni mkali balaa.
 
Do your best,God will do your rest. Kama mkuu wa chuo hajiridhishi mpaka anawatimua wahadhiri,na yeye ni tatizo.Itakuja fika mwisho,na nyie wanafunzi itawarudia hiyo laana kama mlifanya ndivyo cvyo. Unadhani Nicas atakufa njaa?NOoooo.yeye tayari ana gamba lake.Msubiri wawaletee malaika wawafundishe.
 
Nadhani hukunielewa nililomaanisha mkuu, naomba nitumie mda kidogo kukuelewesha kama utachagua kuelewa nililokua namaanisha.

Hii quote hapa chini ndo iliyonivuta kutoa jibu hilo
Tatzo la vyuo kuwa na wanafunzi wengi waliopata div 3 pts 16/17...na walioresit forn4

Nilitoa jibu hili hapa chini.

Kumbe tatizo linaanzia kwa mama Ndalichako?! au NECTA?!

Kila siku watu wanapoona ufaulu umeshuka ama matokea ya mtu yamekua mabaya, watu wamekimbilia kuilaumu NECTA kwa utunzi wa mitihani migumu ama Katibu wa baraza la hilo kwa kusimamia utunzi wa mitihani 'migumu', bila kujishughulisha na chanzo cha tatizo kilipo. Kilichotokea miezi michache iliyopita sote ni mashahidi.

Dr. Ndalichako ameingiaje kwenye mada hii, au una chuki zako binafsi? Nyinyi ndiyo mnaofanya JF idharauliwe ionekane ni ya wahuni.

So niliweka hiyo quote kama kibwagizo tu kureflect mawazo mafupi mengi yanayolizunguka taifa hili, kuanzia ule upumbavu wa ku'standardize tena kwa kulitangazia taifa bila aibu (nadhani ndiyo maana nimeita ni upumbavu) hadi ule ujinga wa kushusha grades ili madaraja yapande katika matokeo na wazazi wafurahi.

Nadhani umenielewa.
 
Hao walimu wenu tatizo ni kuwa hawana hata mikataba ya kufundisha. Hawajui unfair dismissal inalipa kiasi gani? Kalaghabaho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…