Niliona wapiga kura hawapo kituoni hivyo nimefanya Ujecha kutangaza washindi sababu watu walishaanza kulialia wanataka matokeo yatangazweHaa! Uchaguzi urudiwe wengine hatukuwepo[emoji12]
Kura bado haijatoshaNO. 17, MEMBER MBUMBUMBU/KILAZA, UMEMKOSAJE MSHINDI?! HIYO TUZO IENDE KWA K 4 LIFE!. HALAFU KUTOKUMJUMUISHA MWANAKIJIJI KAMA MEMBER WA KITAMBO ALIEKUWA CHACHU YA SIASA ZA MABADILIKO MWISHONI CCM WAKAMKENGEUSHA! KAMA DR SLAA