WASHINDI TUNZO MIAKA 10 YA JF

WASHINDI TUNZO MIAKA 10 YA JF

Sasa dadaYangu Faizafoxy amekuwa kweli mnafiki ?
Mh Jecha hii mechi lazima irudiwe.
 
Sasa dadaYangu Faizafoxy amekuwa kweli mnafiki ?
Mh Jecha hii mechi lazima irudiwe.
Kapewa ushindi na wapiga kura
Ushindi ni ushindi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
huo ubin wako ndo umesogeza mbele ushindi wangu kwenye category ya da best underground member.
 
NO. 17, MEMBER MBUMBUMBU/KILAZA, UMEMKOSAJE MSHINDI?! HIYO TUZO IENDE KWA K 4 LIFE!. HALAFU KUTOKUMJUMUISHA MWANAKIJIJI KAMA MEMBER WA KITAMBO ALIEKUWA CHACHU YA SIASA ZA MABADILIKO MWISHONI CCM WAKAMKENGEUSHA! KAMA DR SLAA SI SAWA!
 
Ugawaji tuzo haukua huru na haki!!
17. na 16 ni mheshimiwa Lukelo sakafu na simuoni hapo
Wamelingana kura vipengele hivyo vya "hakuna mhindi",,,,, Post yako hii ni sawa na kumpa kura ya ushindi so imemuongezea point / ushindi.....kashinda

Sawa kacheki..upya
 
NO. 17, MEMBER MBUMBUMBU/KILAZA, UMEMKOSAJE MSHINDI?! HIYO TUZO IENDE KWA K 4 LIFE!. HALAFU KUTOKUMJUMUISHA MWANAKIJIJI KAMA MEMBER WA KITAMBO ALIEKUWA CHACHU YA SIASA ZA MABADILIKO MWISHONI CCM WAKAMKENGEUSHA! KAMA DR SLAA
Kura bado haijatosha
 
Back
Top Bottom