WASHINDI TUNZO MIAKA 10 YA JF

WASHINDI TUNZO MIAKA 10 YA JF

Sijapata Jibu bado.
Inakuwaje Pashkuna Nyani Ngabu apewe cheo cha Mkongwe mwenye busara wakati huyu ni mboga?

Yaani watanzania mwanamme akishaanza kuvaa hereni na rangi za midomo tayari anakuwa Na Busara?

Kuna busara gani mwanamme kuvaa chupi za dada zake?
Hii mi nakata Rufaa.

Hapo labda muongeze kipengele cha 24 cha Wanamme wenye tabia za kipashkuna na za Kike.
Halafu tupige kura.

Hapo Nyani ngabu atakuwa hana mpinzani kwa hilo.
Ushindi ni mia kwa mia.

Ahsanta
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Duh kumbe matokeo yalishatolewa. Nilijua uchaguzi umeahirishwa kama kule zenji
 
Duh kumbe matokeo yalishatolewa. Nilijua uchaguzi umeahirishwa kama kule zenji
Machale yalinicheza ndo nikatangaza matokeo fasta kabla watu hawajaandamano hadi kibandani kwangu....
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] daaah aisee wewe ndio mana uliitwa member mkorofi[emoji122] [emoji122]
Bonge la mchokozi
Anaweza kukusababishia Life Ban
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bora ungezitoa kulingana na majukwaa husika sio kumtafutia mtu nafasi husika
 
Back
Top Bottom