Washindi wa BET AWARDS 2017, Nicki Minaj & Drake wabwagwa

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Matokeo ni kama ifuatavyo..

BEST INTERNATIONA ACT: AFRICA -WIZKID, hapa mpinzani mkubwa alikua DAVIDO
DDCP5ptXcAU9uWP.jpg

BEST GROUP - MIGOS
MIGOS-FADER-askew_02_pvmwsn.jpg

BEST MALE HIP HOP ARTIST - KENDRIC LAMAR, hapa mpinzani alikua DRAKE
kendrick-lamar-fourth-album-00.jpg

BEST FEMALE HIP HOP ARTIST - REMMY MA, hapa mpinzani alikua NICKI MINAJ, sijui anajisikiaje saivi na alikua anarusha madongo sana kwa bibie kwamba hajui kurap.
remy-ma-bet-awards-2017-rc.jpg

BEST MALE RnB/ POP ARTIST - BRUNO MARS
image.jpg

BEST FEMALE RNB/POP ARTIST - BEYONCE
beyonce-grammy-nominations.jpg

BEST VIDEO OF THE YEAR - SORRY (BEYONCE) & 24K MAGIC (BRUNO MARS)
artworks-000161447150-gpwfel-t500x500.jpg
600x600bb-1475811565.jpg

BEST NEW ARTIST - CHANCE THE RAPPER
Chance-The-Rapper-Announces-Spring-Tour-2017-Tickets-Available.jpg

BET HUMANITARIAN AWARD - CHANCE THE RAPPER
Chance-The-Rapper-Announces-Spring-Tour-2017-Tickets-Available.jpg

BET LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD - NEW EDITION
02-the-new-edition-2017-billboard-1548.jpg

BET YOUNG STAR AWARD - YARA SHAHIDI
yara-shahidi-04-1.jpg

SPORTSMAN OF THE YEAR - STEPHEN CURRY
steph.jpg

SPORTSWOMEN OF THE YEAR - SERENA WILLIAMS
serena-williams-at-wilson-racquet-promotiton-in-melbourne-01-12-2017_1.jpg

BEST ACTOR OF THE YEAR - MAHERSHALA ALI, huyu kijana kambwaga mkongwe DENZEL WASHINGTON
crop+bigger+Mahershala+Ali.jpg

BEST ACTRESS OF THE YEAR - TARAJI P HENSON
Taraji-P-Henson-Taraji-P-009.jpg

ALBUM OF THE YEAR - LEMONADE (BEYONCE)
beyonce-lemonade-album.jpg
 
Uyu beyonce sjui anawapaga nn kila mwaka tunzo yy tu af nyimbo zake sio hit wala nn UKcompare na mtu ka rihanna,Adele,sia.....
BET (Black entertainment television) ni kwa ajilli ya weusi zaidi. Hao Kina Adele, Sia ni wazungu na muziki wao hauendani kabisa na ule wa weusi Ndo maana huwaoni huko. Eminem japo ni mzungu ila ana BET awards kadhaa sababu anafanya hip hop ambayo ni utamaduni wa weusi.

Beyonce sio bet tu hata Grammys anazikusanya kila siku.

A-list stars wengi wanazichukulia bet poa, hawajali akiwemo Beyonce mwenyewe. Wengi wao huwa hawatokei kabisa tofauti na kwenye tuzo za Grammys au Oscars. Sikumbuki Mara ya mwisho jayz, Kanye, Beyonce, Rihanna, Drake, actors/actress na wengine wengi ambao ni alist walienda kwenye bet.
 
Wanaenda kwenye awards za hadhi yao, sio hizi za kuchanganywa na akina rayvanny, harmonize, diamond etc
 
BET (Black entertainment television) ni kwa ajilli ya weusi zaidi. Hao Kina Adele, Sia ni wazungu na muziki wao hauendani kabisa na ule wa weusi Ndo maana huwaoni huko. Eminem japo ni mzungu ila ana BET awards kadhaa sababu anafanya hip hop ambayo ni utamaduni wa weusi.

Beyonce sio bet tu hata Grammys anazikusanya kila siku.

A-list stars wengi wanazichukulia bet poa, hawajali akiwemo Beyonce mwenyewe. Wengi wao huwa hawatokei kabisa tofauti na kwenye tuzo za Grammys au Oscars. Sikumbuki Mara ya mwisho jayz, Kanye, Beyonce, Rihanna, Drake, actors/actress na wengine wengi ambao ni alist walienda kwenye bet.
Watu weusi tunazungumzia ubaguzi wakati sisi wenyewe ndio wabaguzi
 
Halafu anaona kawaida sasa ndo mana wanaona tuzo ndogo ndogo kama hizi hawaji, mi nimemchoka ...kue na challenge kama Minaj alivopata mpinzani
lakini walipaswa waiheshimu coz ni award ambayo black habaguliwi,wangeipa kiki hadi wazungu waone gele............hujamchoka kama mimi na performance zake za ahalf human ahalf devil japo ziko unique.
na minaj ndo atakua na heshima kwenye industry sa hivi ,mana alikua anajikuta,anawaona kina igy vyu.pi tu
 
Ni kweli mkuu, inashangaza wewe ni labda best wa kitu fulan halaf tuzo mlizoandaliwa kuwapaisha na kuonesha waafrika tunaweza lakin cha ajabu wahusika wale tena maarufu hawaji, naonaga kama aibu ..nimefurah kuwaona wengine hua hawakosi
 
BET (Black entertainment television) ni kwa ajilli ya weusi zaidi. Hao Kina Adele, Sia ni wazungu na muziki wao hauendani kabisa na ule wa weusi Ndo maana huwaoni huko. Eminem japo ni mzungu ila ana BET awards kadhaa sababu anafanya hip hop ambayo ni utamaduni wa weusi.

Beyonce sio bet tu hata Grammys anazikusanya kila siku.

A-list stars wengi wanazichukulia bet poa, hawajali akiwemo Beyonce mwenyewe. Wengi wao huwa hawatokei kabisa tofauti na kwenye tuzo za Grammys au Oscars. Sikumbuki Mara ya mwisho jayz, Kanye, Beyonce, Rihanna, Drake, actors/actress na wengine wengi ambao ni alist walienda kwenye bet.
Bruno Mars ni black?
 
Back
Top Bottom