Washindi wa tuzo za Tanzania Music Awards 2024

Washindi wa tuzo za Tanzania Music Awards 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Tuzo za muziki Tanzania, Tanzania Music Awards zinafanyika leo 19 Oktoba pale Superdome Masaki ambapo washindi watatangazwa pamoja na performance kali kufanyika.

Wasanii watakaotumbuiza kwenye tuzo za mwaka huu ni pamoja na Marioo, Harmonize, Abigail Chams, Yammi, Zuchu, Nandy na wengine wengine wengi.

TMA tuzo.png

Aidha kwa mara ya kwanza tuzo hizi zitaoneshwa kupitia Azam TV na baadaye pre recorded event itaoneshwa kupitia MTV Base na BET.

Kwenye uzi huu kutakuwa na vipengele vyote vya wanaowania Tuzo (Nominees) ambavyo vitakuwa updated na washindi kadri tuzo zitakapotolewa pamoja na matukio yote ya muhimu.

Karibuni tujadili na kufahamu nani ni nani usiku wa leo.

TANZANIA MUSIC AWARDS NOMINEES AND WINNERS 2024

BEST COMPOSER OF TAARAB MUSIC OF THE YEAR

  • Umenibamba - Father Mauji
  • Nkurukumbi - Bob Rama
  • Babu Juha - Kisaka
  • DSM Sweetheart - Thabit Abdul
  • Sina Wema - Mfalme Mzee Yusuph - WINNER

BEST EAST, WEST & SOUTH AFRICAN SONG
  • People - Libianca
  • American Love - Qing Madi
  • Lonely At The Top - Asake -WINNER
  • Unavailable - Davido Ft Musa Keys -
  • Mnike - Tyler ICU
BEST MALE ARTIST
  • Marioo - Shisha
  • Shuu! - Diamond Platnumz - WINNER
  • Single Again - Harmonize
  • Sumu - Ali Kiba
  • Nitasema - Jay Melody
BEST FEMALE ARTIST OF THE YEAR
  • Watu Na Viatu - Malkia Leyla Rashid
  • Honey - Zuchu
  • Blessing - Anjella
  • Milele - Abigail Chams
  • Nandy - Falling - WINNER
BEST SONG OF THE YEAR
  • Honey - Zuchu
  • Single Again - Harmonize -WINNER
  • Enjoy - Jux ft. Diamond Platnumz
  • Tajiri - Lava Lava
  • Shu! - Diamond Platnumz
BEST DANCE MUSIC SINGER OF THE YEAR
  • Kanivuruga - Christian Bella - WINNER
  • Hellena - Melody Mbassa
  • Jela Ya Mapenzi - Papii Kocha
  • Mmbeya - Charlz Baba
  • Popo - Sarah Masauti
BEST DANCE MUSIC SONG OF THE YEAR
  • Mmbeya - Twanga Pepeta
  • Tonge la Mwisho - Sikinde Original
  • Nyoka - Melody Mbassa
  • Achii - Diamond Platnumz ft. Koffie Olomide - WINNNER
  • Kanivuruga - Malaika Band
BEST MUSIC COMPOSER OF DANCE MUSIC OF THE YEAR
  • Master Keys
  • Dad One Touch
  • Erasto Machine
  • Christian Bella - WINNER
BEST SONGWRITER OF THE YEAR
  • Mbosso
  • Dulla Makabila
  • Thabit Abdul
  • Jay Melody
  • Marioo - WINNER
BEST BONGO FLAVA MUSIC PRODUCER
  • Ibrah Jacko
  • Aloneym
  • Trone
  • S2Kizzy - WINNER
  • Mr. LG
BEST BONGO FLAVA SONG OF THE YEAR
  • Yatapita - Diamond Platnumz
  • Baridi - Jay Melody
  • Honey - Zuchu
  • Mahaba - Alikiba - WINNER
  • Single Again - Harmonize
BEST FEMALE BONGO FLAVA SINGER OF THE YEAR
  • Nandy - Falling
  • Anjella - Blessing
  • Phina - Sisi Ni Wale
  • Appy - Watu Feki
  • Zuchu - Naringa - WINNER
BEST MALE BONGO FLAVA SINGER OF THE YEAR
  • Diamond Platnumz - Yatapita
  • Jay Melody - Sawa
  • Alikiba - Mahaba
  • Marioo - Love Song
  • Harmonize - Single Again
BEST SINGELI ARTIST OF THE YEAR
  • Mtamu - D Voice
  • Nije Ama Nisije - Dulla Makabila -WINNER
  • Nikiachwa Kama Nimeacha - Mchina Mweusi
  • Danga Langu - Lamona
  • Nini Tena Hiki? - Dogo Elisha
BEST SINGELI SONG OF THE YEAR
  • Karibu Tanzania - Hemedi Kiduku
  • Mr Dj - Dogo Elisha
  • Nikiacha Kama Nimeachwa - Mchina Mweusi
  • Kitu Kizito - Rayvanny ft. Misso Misondo - WINNER
  • Nije Ama Nisije - Dulla Makabila
BEST DJ OF THE YEAR (DJ BORA WA MWAKA):
  • DJ D Ommy
  • DJ Mamie
  • DJ Ally B - WINNER
  • DJ Shana Mnyamwezi
  • DJ Seven Worldwide
BEST FEMALE PERFORMER OF THE YEAR
  • Phina - Do Salale
  • Lolo Da Princess - Performance Turn Up To New Year 2023
  • Zuchu - Nani Remix - WINNER
  • Abigail Chams - Milele
BEST MALE PERFORMER OF THE YEAR
  • Mbosso - Sele
  • Christian Bella - Tamu
  • Harmonize - Single Again
  • Alikiba - Sumu
  • Diamond Platnumz - Shu! - WINNER
BEST MUSIC PRODUCER OF THE YEAR
  • S2Kizzy - WINNER
  • Mr. LG
  • Lizer
  • Thabit Abdul
  • Trone
BEST ALBUM OF THE YEAR:
  • 5 - Abigail Chams
  • Swahili Kid - D Voice
  • Most People Want This - Navy Kenzo
  • Visit Bongo - Harmonize - WINNER
  • Flowers III - Rayvanny
BEST UPCOMING ARTIST OF THE YEAR
  • Lalala - Xouh
  • Gibela - Chino Kidd -WINNER
  • Watu Feki - Appy
  • Mi Nawe - Mocco Genius
  • Namchukia - Yammi
BEST HIP-HOP SONG OF THE YEAR
  • Uongo - Rapcha
  • Current Situation - Country Wizzy - WINNER
  • Stupid - Young Lunya
  • Machozi - Stamina ft. Bushoke
  • Bobea - Joh Makini
HIP HOP ARTIST OF THE YEAR
  • Stupid - Young Lunya - WINNER
  • Dunga Mawe - Kontawa
  • Machozi - Stamina
  • Bobea - Joh Makini
  • Mama Omollo - Rosa Ree
BEST COLLABORATION SONG OF THE YEAR
  • Sumu - Alikiba ft. Marioo
  • Sele - Mbosso ft. Chley
  • Nani? - Abigail Chams ft. Marioo
  • Enjoy - Jux ft. Diamond Platnumz - WINNER
  • Achii - Diamond Platnumz ft. Koffie Olomide
 
Huwa sielewi hizi tuzo maana naona wasanii wako wengi harafu vipengele vichache vya kuwania inakaaje hapa wadau..........inaamaana kama washindi washapangwa mapema..........hao wengine watapata wapi hizo tuzo???
 
Huwa sielewi hizi tuzo maana naona wasanii wako wengi harafu vipengele vichache vya kuwania inakaaje hapa wadau..........inaamaana kama washindi washapangwa mapema..........hao wengine watapata wapi hizo tuzo???

Vipengele viko vingi.

Angalia tena
 
Mie naziangalia hizi tuzo kwa namna ya tofauti sana.
Hivi huyu mdada mtangazaji wa E fm nadhani, ndio amechagua kuwa hivyo kweli?
 
Tanzania Music Awards, kuanzia waandaaji, washereheshaji, huyo mchanganya picha, watumbuizaji, waalikwa wote ni hovyo kabisa.
Tuzo hazina mvuto nadhani kila mmoja anataka kurudi kwake akalale.
 
sinza pazuri umeona Waandishi bora wanaogombea tuzo ? Wasafi Mwandishi ni Mbosso wengine hao huwa wanaandikiwa. Halafu nilikuambia moja ya Waandishi wa nyimbo za Zuchu ni jamaa anaitwa Mzazizo

Mbona Zuchu anasema huwa anaandika ngoma zake mwenyewe?

Au anatudanganya?
 
Tanzania Music Awards, kuanzia waandaaji, washereheshaji, huyo mchanganya picha, watumbuizaji, waalikwa wote ni hovyo kabisa.
Tuzo hazina mvuto nadhani kila mmoja anataka kurudi kwake akalale.

Zimepoa sana mkuu hazina vibe!

Production mbovu sijawahi ona
 
Back
Top Bottom