Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Wengine tuko mkoa, zimeendaje nimesikia tu watu wanasema Millard, Salim Kikeke, Ladyjdee, Alikiba, Wema wamekinukisha vipi uko ni kweli?
Mwanamuziki wa kiume anaependwa - ALI SALEHE KIBA.
Mwanamuziki wa Kike anaependwa - AY DEE
Muigizaji wa kiume anaependwa - HEMED SULEIMAN
Muigizaji wa Kike anaependwa - WEMA SEPETU
Muongozaji wa Filamu anaependwa - VICENT KIGOSI 'RAY'
Director wa muziki anaependwa - HANSCANA
Mtangazaji wa runinga anaependwa - SALIM KIKEKE (BBC SWAHILI)
Mtangazaji wa Radio anaependwa - DJARO ARUNGU (TBC FM)
Kipindi cha radio kinachopendwa - PAPASO (TBC FM)
Tovuti/Blogu inayopendwa - MILLARDAYO.COM
TUZO HIZI HUTOLEWA KUTOKANA NA IDADI YA KURA ZINAZOPIGWA NA MASHABIKI.