Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna muvi yake yoyote iliyotoka na kusikika maana angekuwa anaitangaza hata ktk page yake instagram au fb nadhani. Ila wadau wajuao watakujibu kama ipo maana ni tuzo za 2014 na waliandika lazima iwe kwa mwaka 2014 tu.
Tuzo za watu hazina mvuto wangeziita tuzobza mashabiki, maana wengine wanaoshinda wanakaa wanajijua hakuna kazi waliyofanya kustahili tuzo hiyo.
So ndani ya mioyo yao ni kilio wakijua hakuna la kuonyeshea bali ni basi tu, ndio Tanzania hiyo kupotoshana mwisho wa siku nadhani wengi wanajua bidii na matunda yanaonekana.
Hakuna tuzo hapo ni ujanja ujanja.. Tangu walipozitoa video za Mdogo Mdogo na Ntampata Wapi eti kwa kigezo zimefanyiwa South Africa nikazitoa maana hizi tuzo... Kama unakataa kuishindanisha video kwa kuwa imefanyiwa nje ya nchi, inakuwaje unamshindanisha Mtangazaji anaefanyia kazi yake kituo cha nje ya nchi na wa ndani ??.
Eti papaso ndio kipindi kinachopendwa duh.. Mtu ajawai kucheza movie ata moja ndani ya mwaka 2014 ila anakuwa muigizaji bora wa kike mwaka 2014.
Millard Ayo blog over jamiiforums siamini
Matumbo punguza ushabiki, hakuna category ya muigizaji bora wa kike bali muigizaji anayependwa zaidi wa kike, watanzania tumieni akili kuchambua mambo.
Mimi naongea facts.. Mwigizaji anapendwa vipi bila kuwa na movie? Ebu tueleze amependwa baada ya kucheza movie gani 2014?.. Acheni hizi fitina kama hamziwezi mtaumbuka tu siku moja.
Mimi naongea facts.. Mwigizaji anapendwa vipi bila kuwa na movie? Ebu tueleze amependwa baada ya kucheza movie gani 2014?.. Acheni hizi fitina kama hamziwezi mtaumbuka tu siku moja.
Kwa mfano na uchaguzi mkuu nec wangeruhusu shahada moja ipige kura mara nyingi iwezavyo tungekuwa na viongizi hawa? Ingekuwa fare?
Muulize Boss wako Diamond alikuwa anampendea nini Wema? Na followers wa Wema wanampendea nini? Hivi mpaka mashabiki wake wameanzisha Team Wema bado unamuona hana influence kwa watu anaofanana nao akili?
Mkuu naona kwako somo limekuwa gumu, Enewei hata hivyo si mlisema tuzo za ndani ni too local hivyo mnaachia wasanii wasijioweza nyie mnakomaa na tuzo za kimataifa kama BET, channel O, sasa ya nini mlie tena?
Wewe kilaza hapa tunazungumzia tuzo, kama unataka kuzungumzia mapenzi ya watu wasubiri wenzio muanzishe uzi.. Ushaniona ata siku moja umu najadili mapenzi ya yoyote? Mwanaume unakuja hapa na hoja ya Diamond alimpendea nini Wema!
Kama ni tuzo aliwekwa kama muigizaji, na alipigiwa kura kama muigizaji.. Ndio maana nikauliza 2014 alicheza movie gani akapendwa?
Kipindi anachotangaza Salim Kikeke kinataalishwa, kinazalishwa na kurushwa uingereza, huku tunapokea tu. Video za Diamond za Mdogo Mdogo na Ntampata Wapi zimefanyika na kuzalishwa South Africa ila zinachezwa na kuwa requested huku ..
Kikeke kila kitu chake kinafanyika nje ya nchi akaingizwa kwenye mchakato na watangazaji wa huku.
Diamond video zake zimefanyika nje ya nchi wakakataa kuziingiza kwenye mchakato eti sababu zimefanyika nje ya nchi.
We uoni kuna kitu akijakaa sawa hapa? Mtu akihisi wanamuhujumu anakosea hapa?
BET East AFrica nzima wameteuliwa Wakenya tu, sasa sijui Billionare wa Tandale anapanda au anashuka?