Washindi wa wiki ya kwanza katika kampeni ya kila mechi ina mshindi

Washindi wa wiki ya kwanza katika kampeni ya kila mechi ina mshindi

TECNO Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 6, 2016
Posts
192
Reaction score
217
Kampuni ya TECNO bado ina endelea na Kampeni yake ya kila mechi ina mshindi katika msimu huu wa kombe la dunia ambapo ili kushiriki unachotakiwa kufanya ni kupost picha ya mtu umpendae na ujumbe mzuri wa upendo kisha kuutuma kwa kutumia Hashtag #SambazaFuraha na kuTag account ya Kampuni kwenye mtandao wa kijamii husika @tecnomobiletanzania.

Katika week ya kwanza washiriki mbali mbali waliosambaza furaha kwa wapendwa wao na kuwashindia simu mpya za toleo la CAMON 19.

Moja ya washindi bwana Geodfrey Sagumo alitoa shukrani zake kwa kampuni na kusema ‘’kampeni hii ni nzuri sana kwa jamii kwa sababu ina onganisha watu pamoja na kuwafanya wajue thamani ya wapendwa wao katika Maisha ya kila siku''.

WhatsApp Image 2022-12-08 at 14.42.08.jpeg

Mshindi wetu wa kwanza akipokea zawai kutoka kwa Balozi wetu Kibwana Shomari

Pia muakilishi wa bwana Bwajideo alizungumza kwa niaba ya mshindi huyo na kusema ''Kampuni ya TECNO kwenye hii kampeni mmefanya kitu kikubwa sana maaana kupitia kampeni hii watu wengi wameweza kujua thamani na nafasi walizo nazo kwenye Maisha ya watu wengine.
Hiki kitu ni kizuri sana na tukiwa tunaelekea mwishoni mwa mwaka nivyema kumaliza tukiwa tumejawa na furaha tele miyoyoni mwetu. Pia alimalizia Kwa kusema hata mimi nitaenda kusambaza furaha kwa mtu nimpendae niweze kumshindia CAMON 19''.

WhatsApp Image 2022-12-08 at 14.42.07.jpeg

Mwakilishi wa Bwana Bwajideo akipokea zawadi kwa niaba

Mshindi wetu wa mwisho alie mshindia rafiki yake simu ya CAMON 19 alisema ''nimefurahia sana kupokea zawadi kutoka TECNO na kuwahasa Watanzania wengine kuwa na tabia ya kutambua mchango wa watu wao wakaribu na kusambaza furaha kwa wapendwa wao ikiwa kama shukrani kwenye Maisha yao''.

WhatsApp Image 2022-12-08 at 14.42.08 (1).jpeg

Mshindi wetu wa tatu akipokea zawadi

Na wewe bado haujachelewa kumzawadia mpendwa wako simu Mpya ya Toleo la CAMON 19. Simu zina endelea kutoka kila siku yenye mechi. Shindano bado lina endelea na simu zinaendelea kutoka.

KILA MECHI INA MSHINDI, SAMBAZA FURAHA.
 
Back
Top Bottom