Washindi wote wa Bss waliopita warudishiwe 30M zao..ntashangaa Mh Juliana mkiruhusu haya mashindano mwakani

Washindi wote wa Bss waliopita warudishiwe 30M zao..ntashangaa Mh Juliana mkiruhusu haya mashindano mwakani

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kamaa hali ndioo hii
Mil 50
30M mnabaki Nazo ATI promo

Nashauri serikali iamuru washindii WOTE waliopita WA BSS WAPEWE MIL 30 ZAO NDIPO mashindanoo yaendelee

Atakuwa busaraa kama huyu analipwa cash na waliopita waachwe

Hahaa mashindano yamekuwa na uhuni mwingi sana sana nahisii yamefikia tamatii

Wahusika wote walioshinda wapewe mil 30 walizowaibia wakidai za Promotion
 
waleee WA betting jackpot mtaelewa sana HAKUNA cha bure angalieni washindi mwibie mamako ukaweke SIMBA anashinda uone
 
Kwanza ninasikitika kusikia dogo hakulipwa stahiki zake, lakini hili la promo kama lilikuwepo awali na washindani walilijua sidhani kama kuna uhalali wa kupewa labda endapo promo haifanyiki basi wapewe haki zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamaa hali ndioo hii
Mil 50
30M mnabaki Nazo ATI promo

Nashauri serikali iamuru washindii WOTE waliopita WA BSS WAPEWE MIL 30 ZAO NDIPO mashindanoo yaendelee

Atakuwa busaraa kama huyu analipwa cash na waliopita waachwe

Hahaa mashindano yamekuwa na uhuni mwingi sana sana nahisii yamefikia tamatii

Wahusika wote walioshinda wapewe mil 30 walizowaibia wakidai za Promotion

Naona kuna mtu mnatafuta ajinyonge 😆
 
Km walisaini mkataba na kukubaliana 30m for promption basi wadai wasilie lie.
Na kama kijana hajapewa kabisakabsa ile 20m basi ana haki ya kulialia adai haki yake.
 
Madam Rita akamatwe, tumewachoka watu wanaoishi mjini kiujanjaujanja.
 
Km walisaini mkataba na kukubaliana 30m for promption basi wadai wasilie lie.
Na kama kijana hajapewa kabisakabsa ile 20m basi ana haki ya kulialia adai haki yake.
Tatizo baada ya kumalizika shindano hawafanyiwi promotion na hili linachangia wasanii kushindwa kufanya vizuri je hizo 30m wanazipeleka wapi?
 
alafu walivyo wezi wakubwa na wasio na haya hata hiyo million 30 za promotion hawafanyiwi watuambie hizo hela wanazipeleka wapi? Si Bora tu umpe mshiriki hela yake yote million 50 cash promotion atafanya yeyemwenyewe.
 
Acheni kulaumu kabla hamjajua mkataba unasemaje? Hicho mnachiskia kwenye matangazo ni kauli za marketing kama unavyoona matangazo ya tigo, voda etc
Katika watu smart ni Madam Ritta hawezi kuwa kilaza akaahidi mil 50 halafu mwisho wa siku asimpe mtu hata sh 100, tatizo hao wasanii huwa wanasoma vizuri mkataba na kuelewa?
Moja ya ninalojua mimi ni kuwa msanii baada ya kushinda huwa anakuwa chini ya Benchmark kwa muda fulani na analelewa kwa kupewa kila kitu,je ni bure???? Lakini pia wanazunguka kupiga show mikoani na msanii huwa anapata kiasi fulani.

Madam Rita aliwahi kusema kuwa anachofanya yeye ni kuwapa platform vijana, ishu kubwa sio mil 10 au 100. Kuna waliofika top 20 tu na ilitosha leo wapo mbali kimafanikio kuliko mshindi wa kwanza.
 
Mkataba unasema 30m Ni kwaajili ya kufanyiwa promotion alafu 20m ndo mshiriki anapewa cash Cha ajabu hata promotion yenyewe hawafanyiwi je hizo hela wanazipeleka wapi?
Hiyo promotion ni lazima au hiari?

Vipi kama nitahitaji nipewe hela yangu yote nikafanye promotion mwenyewe?
 
Huyo dogo kulalamika kwake ndo kwisha habar yake,hzo hela atapewa lkn wakina madam ritha watamfanyia figisu kama zote na kumzibia kila sehemu kuhakikisha anafeli maana kawachomesha kwa wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo dogo kulalamika kwake ndo kwisha habar yake,hzo hela atapewa lkn wakina madam ritha watamfanyia figisu kama zote na kumzibia kila sehemu kuhakikisha anafeli maana kawachomesha kwa wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani madam Rita ni Mungu hata iwe kwisha kwa huyo dogo?unakumbuka hamonize walisema hafai leo yupo wapi?,mwenye kupanga ni Mungu wengine ni takataka tu na kama kupenya atapenya tu,waache udhulumati wampe 20 zake.
 
Hiyo promotion ni lazima au hiari?

Vipi kama nitahitaji nipewe hela yangu yote nikafanye promotion mwenyewe?
Hiyo ya promotion ipo ndani ya mkataba inatakiwa washiriki waidai ila wao wapo kimya Kama unaona ufanyiwi promotion ya million 30 mliokubaliana kwenye mkataba kwanini usiidai
 
Back
Top Bottom