Kamaa hali ndioo hii
Mil 50
30M mnabaki Nazo ATI promo
Nashauri serikali iamuru washindii WOTE waliopita WA BSS WAPEWE MIL 30 ZAO NDIPO mashindanoo yaendelee
Atakuwa busaraa kama huyu analipwa cash na waliopita waachwe
Hahaa mashindano yamekuwa na uhuni mwingi sana sana nahisii yamefikia tamatii
Wahusika wote walioshinda wapewe mil 30 walizowaibia wakidai za Promotion
Tatizo baada ya kumalizika shindano hawafanyiwi promotion na hili linachangia wasanii kushindwa kufanya vizuri je hizo 30m wanazipeleka wapi?Km walisaini mkataba na kukubaliana 30m for promption basi wadai wasilie lie.
Na kama kijana hajapewa kabisakabsa ile 20m basi ana haki ya kulialia adai haki yake.
Mkataba unasema 30m Ni kwaajili ya kufanyiwa promotion alafu 20m ndo mshiriki anapewa cash Cha ajabu hata promotion yenyewe hawafanyiwi je hizo hela wanazipeleka wapi?
Madam Rita akamatwe, tumewachoka watu wanaoishi mjini kiujanjaujanja.
Hiyo promotion ni lazima au hiari?Mkataba unasema 30m Ni kwaajili ya kufanyiwa promotion alafu 20m ndo mshiriki anapewa cash Cha ajabu hata promotion yenyewe hawafanyiwi je hizo hela wanazipeleka wapi?
Kwani madam Rita ni Mungu hata iwe kwisha kwa huyo dogo?unakumbuka hamonize walisema hafai leo yupo wapi?,mwenye kupanga ni Mungu wengine ni takataka tu na kama kupenya atapenya tu,waache udhulumati wampe 20 zake.Huyo dogo kulalamika kwake ndo kwisha habar yake,hzo hela atapewa lkn wakina madam ritha watamfanyia figisu kama zote na kumzibia kila sehemu kuhakikisha anafeli maana kawachomesha kwa wakubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni aibu, tumesikia utetezi wake?
Je ni wangapi hawakupewa zawadi kwa kutokushinda lakini BSS iliwatangaza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ya promotion ipo ndani ya mkataba inatakiwa washiriki waidai ila wao wapo kimya Kama unaona ufanyiwi promotion ya million 30 mliokubaliana kwenye mkataba kwanini usiidaiHiyo promotion ni lazima au hiari?
Vipi kama nitahitaji nipewe hela yangu yote nikafanye promotion mwenyewe?