Yawezekana kuna wabaya wake wamejificha Burundi tofauti na Serikali ya Burundi.
Hata hivyo naona kuna vita kali ya maneno kati ya nchi hizi 2 na tukiangalia kiuhalisia hali ya usalama wa Burundi na wanavyosema kina Trump ni tofauti kabisa au kwakua warusi ,wachina na waturuki ndio waliopewa kandarasi zote za kuchimba nickel na madini mengine.Alichokisema Trump ni:
The situation in Burundi, which has been marked by killing and other violence against civilians, unrest, the incitement of violence, and significant political repression, and which threatens the peace, security, and stability of Burundi and the region, continues to pose an unusual and extraordinary threat to the national security and foreign policy of the United States.
Therefore, I have determined that it is necessary to continue the national emergency declared in Executive Order 13712 with respect to the situation in Burundi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo naona kuna vita kali ya maneno kati ya nchi hizi 2 na tukiangalia kiuhalisia hali ya usalama wa Burundi na wanavyosema kina Trump ni tofauti kabisa au kwakua warusi ,wachina na waturuki ndio waliopewa kandarasi zote za kuchimba nickel na madini mengine.
Nimekusoma mkuuPoint ya Trump iko hapa:
Burundi which has been marked by killings and other violence against civilians, unrest, the incitement of violence, and significant political repression.
Sasa kama Wachina,Warusi,Waturuki wamechukua tenda basi Burundi isijali hizo nchi zitaisaidia big time.
Sent using Jamii Forums mobile app