LOVE U JF
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 2,138
- 1,639
Nakwenda kwenye mada ni wiki mbili zimepita Rais Trump alisema serikali ya Burundi ni hatari kwa usalama wake , tamko hilo lilikanushwa na serikali ya Burundi kupitia msemaji wa serikali, sasa mimi najaribu kujiuliza na sipati picha U.S.A kuhofia ki inchi kidogo na maskini kabisa .
Je ni nini kimejificha nyuma ya kauli hizi tata?
Karibuni tujadili
Malcom Lumumba
Je ni nini kimejificha nyuma ya kauli hizi tata?
Karibuni tujadili
Malcom Lumumba