Washirika wenzangu wa Shindano la Stories of Change 2023 mnafuata vigezo vilivyowekwa kweli? Milioni 20 sio mchezo ujue!

Mura mbona mi naandika uzi lakini hautokei au nakosea wapi?
 
Kingine watu wajitahidi kuhariri maandiko yao kabla hawajayawasilisha hapa. Typing errors haziepukiki kwenye uchapaji, hivyo basi, jitahidini kuyahariri maandiko yenu ili yawe na usahihi 100% na kujiweka ktk nafasi nzuri ya kuwa mshindi.

Ahsante.
 
Andiko lako liko wapi nikupee hii vote[emoji276]
 
Hahahaha sizani kama ni pumba hata kama ni pumba yaani si ungetokea ndo waufute? Yaani hata kutokea hautokei
Labda kushida na kifaa chako, ungemtafuta mod labla hata na screenshot unaweza kupata ufumbuzi
 
Kingine watu wajitahidi kuhariri maandiko yao kabla hawajayawasilisha hapa. Typing errors haziepukiki kwenye uchapaji, hivyo basi, jitahidini kuyahariri maandiko yenu ili yawe na usahihi 100% na kujiweka ktk nafasi nzuri ya kuwa mshindi.

Ahsante.
Kweli kabisa, watu waandika haraka haraka kama wanaoga nje na wakiweka maandiko yao hawapitii tena wanatelekeza kimoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…