Washirikawa JF, amani iwe kwenu

Washirikawa JF, amani iwe kwenu

MJUMBE WA AMANI

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
262
Reaction score
238
Habari zenu wadau na washirika wa jf? mimi Mjumbe wa Amani ninayo furaha kubwa kujiunga nanyi, baada ya kutumia jf kama mgeni leo nimeona nijiunge na kuwa member.Nimefurahishwa na kila kinachoendelea hapa jf na ndiyo sababu ya kuamua kujiunga nanyi.Nina imani kubwa kwa ushirikiano wenu.
 
Mjumbe wa amani karibu mpaka kwenye moyo wangu upya nimetendwa sana. Nakupa nafasi wew sasa ndani ya moyo wangu.
Tobah! asante mkuu kwa ukaribisho...linda sana moyo wako humu duniani kuna heartkeepers na destroyers as well.
 
Habari zenu wadau na washirika wa jf? mimi Mjumbe wa Amani ninayo furaha kubwa kujiunga nanyi, baada ya kutumia jf kama mgeni leo nimeona nijiunge na kuwa member.Nimefurahishwa na kila kinachoendelea hapa jf na ndiyo sababu ya kuamua kujiunga nanyi.Nina imani kubwa kwa ushirikiano wenu.
amani ya moyo wako iutulize moyo wangu

karibu sana
 
Jamanii you 'r so sympathetic kikubwa ushirikiano mkuu.
mh,
napata picha we si mgogo, mi ni mtaturo wa tabora. ushirikiano wangu umeupata labda uninyime wako. nini kungine unapendelea toka kwa mwenyeji wako.
 
Back
Top Bottom