MJUMBE WA AMANI
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 262
- 238
- Thread starter
- #21
Hahahahaa...usijali mkuu, kuna mengi sana ya kujifunza kuhusu hii forum, ila kidogo kidogo tutafika tu.mh,
napata picha we si mgogo, mi ni mtaturo wa tabora. ushirikiano wangu umeupata labda uninyime wako. nini kungine unapendelea toka kwa mwenyeji wako.