MJUMBE WA AMANI
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 262
- 238
Shukrani mkuu...nimefurahi sana.KARIBU
Asante ndugu kwa ukaribisho.Karibu.
Asante mkuu nimeshakaribia.Mkuu karibu jf...jisikie upo nyumbani.
Asante mkuu naamini nimefika mahala salama.Karibu sana jisikie upo mahara salama kabsa
Asante shostiKaribu sana Mjumbe
Mjumbe wa amani karibu mpaka kwenye moyo wangu upya nimetendwa sana. Nakupa nafasi wew sasa ndani ya moyo wangu.Asante shosti
Tobah! asante mkuu kwa ukaribisho...linda sana moyo wako humu duniani kuna heartkeepers na destroyers as well.Mjumbe wa amani karibu mpaka kwenye moyo wangu upya nimetendwa sana. Nakupa nafasi wew sasa ndani ya moyo wangu.
amani ya moyo wako iutulize moyo wanguHabari zenu wadau na washirika wa jf? mimi Mjumbe wa Amani ninayo furaha kubwa kujiunga nanyi, baada ya kutumia jf kama mgeni leo nimeona nijiunge na kuwa member.Nimefurahishwa na kila kinachoendelea hapa jf na ndiyo sababu ya kuamua kujiunga nanyi.Nina imani kubwa kwa ushirikiano wenu.
Hahahaa asante mkuu? we hav to full fill each other.amani ya moyo wako iutulize moyo wangu
karibu sana
furaha yako itakuwa furaha yangu usijali, tutatabasam na kutacheka pamoja nakuahidi ukilia nami nitatoa chozi....Hahahaa asante mkuu? we hav to full fill each other.
Jamanii you 'r so sympathetic kikubwa ushirikiano mkuu.furaha yako itakuwa furaha yangu usijali, tutatabasam na kutacheka pamoja nakuahidi ukilia nami nitatoa chozi....
Asante mkuu...nashukuru sana kwa ukaribisho wenu.Karibu sana PM mkuu.
mh,Jamanii you 'r so sympathetic kikubwa ushirikiano mkuu.