Washirikawa JF, amani iwe kwenu

mh,
napata picha we si mgogo, mi ni mtaturo wa tabora. ushirikiano wangu umeupata labda uninyime wako. nini kungine unapendelea toka kwa mwenyeji wako.
Hahahahaa...usijali mkuu, kuna mengi sana ya kujifunza kuhusu hii forum, ila kidogo kidogo tutafika tu.
 
Hahahahaa...usijali mkuu, kuna mengi sana ya kujifunza kuhusu hii forum, ila kidogo kidogo tutafika tu.
kama mwenyeji wako najitolea kushughulikia kitambulisho chako cha jf, ningependa kufahamu kama hiyo picha kwenye avatar ni yako na tuitumie hiyo au una nyingine?
 
Hahahahaaa...so funy, yeah nina clue na UKUTA ila to be honest nimecheka sana.
Kumbe unaujua, safi sana!! Ni jadi yetu/yangu kumfurahisha mgen, BTW humu kuna kila kitu...mazuri mabaya....kucheka ...kupata stress(hahahaha dont be affraid, hii ni kama utakua unatembelea jukwa la politics)....inshort we have everything!!! Be free, and Mostly Welcome at JF!!!
 
kama mwenyeji wako najitolea kushughulikia kitambulisho chako cha jf, ningependa kufahamu kama hiyo picha kwenye avatar ni yako na tuitumie hiyo au una nyingine?
Kuna habari ya vitambulisho? ndo vipoje hivyo?
 
Yeah its good thing to be informed,...kila kitu ni kama siku, it has got its bright and dark sides, I knew that...Endelea kutuongezea siku za kuishi mkuu ila uwe makini na mbavu zetu.
 
Kuna habari ya vitambulisho? ndo vipoje hivyo?
vipo kwa ngazi na madaraja mbalimbali nitakutengenezea cha verified gold member hapo inabidi uweke picha yako halisi ndio maana nikakuuliza hiyo avatar ni picha yako kama sio, sio kesi kesho ibadilishe weka yako ili nifuatilie hiyo kitu.
 
Karibu sana MJUMBE WA AMANI
 
Karibu sana MwA, ujisikie uko nyumbani. Kuna addiction hapa mahali ya namna fulani halafu ukiona hata Serikali inajaribu kupiga vita JF basi ujue kuna kitu ambacho kinafanywa vizuri hapa mpaka kuiudhi Serikali.

 
Karibu sana MwA, ujisikie uko nyumb Kuna addiction hapa mahali ya namna fulani halafu ukiona hata Serikali inajaribu kani.upiga vita JF basi ujue kuna kitu ambacho kinafanywa vizuri hapa mpaka kuiudhi Serikali.
Asante sana mkuu,...ila bandiko lako sijalielewa lina maanisha nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…