Washiriki Olimpiki toka Tanzania walalamika

Washiriki Olimpiki toka Tanzania walalamika

Donkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,499
Reaction score
1,584
Nimesikia washiriki wa olimpiki toka Tanzania wakilalamika posho zao na viongozi kutowajali wachezaji.

Je tatizo nini mpaka imekuwa hivyo, kwani wizara haikujipanga?
 
Back
Top Bottom