Donkey JF-Expert Member Joined Dec 17, 2010 Posts 1,499 Reaction score 1,584 Aug 17, 2016 #1 Nimesikia washiriki wa olimpiki toka Tanzania wakilalamika posho zao na viongozi kutowajali wachezaji. Je tatizo nini mpaka imekuwa hivyo, kwani wizara haikujipanga?
Nimesikia washiriki wa olimpiki toka Tanzania wakilalamika posho zao na viongozi kutowajali wachezaji. Je tatizo nini mpaka imekuwa hivyo, kwani wizara haikujipanga?