Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
asingekua na influence yeyote sidhani kama angechaguliwa na wanachi wake kua mbunge.Huyu Bonna Kaluwa Mbunge wa Segerea, ana influence gani kwenye siasa za nchii hii?
Najua ni Mbunge wa kuchaguliwa, wala sijahoji ushindi wake, ila ni yeye kama mwanasiasa kulingana na hizi tuzo, amefanya nini kama inspiration kwa wengine?!!asingekua na influence yeyote sidhani kama angechaguliwa na wanachi wake kua mbunge.
Itakua mada hujaielewa kaka mkubwa.wamemuacha madam wa Insta alietingisha nchi hii... Mang* Kimam*i nani alietingisha social media mwaka mzima zaidi yake..? wapi Dk shika
Mfatilie ujue maana mpaka wamemteua kwenye tuzo ujue kuna jambo.Najua ni Mbunge wa kuchaguliwa, wala sijahoji ushindi wake, ila ni yeye kama mwanasiasa kulingana na hizi tuzo, amefanya nini kama inspiration kwa wengine?!!
Na ni mtz alietutia aibu ya kutosha pia. Alichojali kuwakomesha haters tu halafu akakae uwanja mmoja na Kobe Bryant amshinde kwa miraclesNi mtanzania pekee kucheza kikapu kwa level za ligi hizo..ana deseve sana
Na ni mtz alietutia aibu ya kutosha pia. Alichojali kuwakomesha haters tu halafu akakae uwanja mmoja na Kobe Bryant amshinde kwa miracles
Sasa povu la nini Jokate?Amekutia aibu kwani kaenda kuiwakilisha nchi kule? Kapelekwa na nchi? we unadhani ni rahisi toka uswahilini Tz mpaka NBA USA tena kwa mtu ambaye hakua na background ya kucheza huo mchezo akiwa mtoto? Kwa taarifa yako ni viumbe wachache sana wanaweza kufanya alichoweza kufanya thabeet!! Hata wamarekani wenyewe ni ngumu kufanya hivyo yaani mtu aibuke tu from nowhere moja kwa moja mpaka college kufundishwa kudunda mpira? Acheni uchawi chukueni mazuri hayo mabaya hata babaako anayo sasa povu la nini
Amekutia aibu kwani kaenda kuiwakilisha nchi kule? Kapelekwa na nchi? we unadhani ni rahisi toka uswahilini Tz mpaka NBA USA tena kwa mtu ambaye hakua na background ya kucheza huo mchezo akiwa mtoto? Kwa taarifa yako ni viumbe wachache sana wanaweza kufanya alichoweza kufanya thabeet!! Hata wamarekani wenyewe ni ngumu kufanya hivyo yaani mtu aibuke tu from nowhere moja kwa moja mpaka college kufundishwa kudunda mpira? Acheni uchawi chukueni mazuri hayo mabaya hata babaako anayo sasa povu la nini