Washiriki shindano la Watanzania wenye umri mdogo na wenye ushawishi watajwa

wamemuacha madam wa Insta alietingisha nchi hii... Mang* Kimam*i nani alietingisha social media mwaka mzima zaidi yake..? wapi Dk shika
 
asingekua na influence yeyote sidhani kama angechaguliwa na wanachi wake kua mbunge.
Najua ni Mbunge wa kuchaguliwa, wala sijahoji ushindi wake, ila ni yeye kama mwanasiasa kulingana na hizi tuzo, amefanya nini kama inspiration kwa wengine?!!
 
Mfatilie ujue maana mpaka wamemteua kwenye tuzo ujue kuna jambo.
 
Wema na Jokate kazi gani źa entertaiñent wamefanya 2017 ambažo ni influential!!!

Le mutuz hayupo?
 
Mhhh hapo ni kwenye sheria peter kibatala hizo category nyingine nawaachis
 
Mbona wazee haooo[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3] wonders shall never cease
 
Ni mtanzania pekee kucheza kikapu kwa level za ligi hizo..ana deseve sana
Na ni mtz alietutia aibu ya kutosha pia. Alichojali kuwakomesha haters tu halafu akakae uwanja mmoja na Kobe Bryant amshinde kwa miracles
 
Amekutia aibu kwani kaenda kuiwakilisha nchi kule? Kapelekwa na nchi? we unadhani ni rahisi toka uswahilini Tz mpaka NBA USA tena kwa mtu ambaye hakua na background ya kucheza huo mchezo akiwa mtoto? Kwa taarifa yako ni viumbe wachache sana wanaweza kufanya alichoweza kufanya thabeet!! Hata wamarekani wenyewe ni ngumu kufanya hivyo yaani mtu aibuke tu from nowhere moja kwa moja mpaka college kufundishwa kudunda mpira? Acheni uchawi chukueni mazuri hayo mabaya hata babaako anayo sasa povu la nini
 
Sasa povu la nini Jokate?
 
dada MANGE simuoniii....HIVI KIKEKE NI KIJANA WA UMRI MDOGO??????????????????????????????????????????????????
 
Amekutia aibu kwani kaenda kuiwakilisha nchi kule? Kapelekwa na nchi? we unadhani ni rahisi toka uswahilini Tz mpaka NBA USA tena kwa mtu ambaye hakua na background ya kucheza huo mchezo akiwa mtoto? Kwa taarifa yako ni viumbe wachache sana wanaweza kufanya alichoweza kufanya thabeet!! Hata wamarekani wenyewe ni ngumu kufanya hivyo yaani mtu aibuke tu from nowhere moja kwa moja mpaka college kufundishwa kudunda mpira? Acheni uchawi chukueni mazuri hayo mabaya hata babaako anayo sasa povu la nini

Mlimwalika hadi ikulu kuwakilisha ukoo wake nba? Katia aibu na sasa mwalikeni ikulu na ubalozi wa japan mumshangilie tena. Ovyo!
 
Back
Top Bottom