Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora wema. Ila Jokate sijui anaingiaje, labda angepewa kipengele cha udananda na kujipendekeza CCM ili apate Ubunge.Haf jokate na wema ni waigizaji wa aina gani? Hope sio bongo movie!!! Wangefafanua zaidi
Hiyo list ya hovyoHaya ni matatizo ya kujifungia vyumbani na kuja na majina yenu, hivi Hashim Thabit na Juma Kaseja,Ngassa wameingiaje humo? Si bora mgetuwekea hata jina la Saimon Msuva. Mtu kama Mama Alaska unamuachaje kwenye Business category?
[emoji106]Business- Patrick Ngowi,
Entertainment- Diamond,
Law&governance- Bonnah Kaluwa,
Lifestyle- Jacqueline Mengi,
Media- Millard Ayo,
Science&Technology- Lilian Makoi,
Sports- Mbwana Samatta,
Social Ent.&Civil Society- Faraja Nyalandu.
[emoji106]My vote goes to
Carol Ndosi
Jokate Mwegelo
Bonnah Kaluwa
Jacqueline Mengi
Millard Ayo
Jumanne Mtambalike
Mbwana Samatta
Faraja Nyalandu
😀😀😀 Eti?umri mdogo kwa mtanzania ni upi? kama lifespan yetu ni miaka 55 kaseja anaingiaje ?
Huyu Bonna Kaluwa Mbunge wa Segerea, ana influence gani kwenye siasa za nchii hii?Business- Patrick Ngowi,
Entertainment- Jokate Mwegelo,
Law&governance- Bonnah Kaluwa,
Lifestyle- Jacqueline Mengi,
Media- Millard Ayo,
Science&Technology- Lilian Makoi,
Sports- Mbwana Samatta,
Social Ent.&Civil Society- Faraja Nyalandu.
Unaijua kampeni ya Jokate inavyoinfluence wasichana mashuleni na vyuoniMnashindwa kumuweka Ontario mnawaweka wapuuzi ambao hawana direct implication kwenye jamii!!!
Hivi huyo Jokate ana movie ipi na ipi??!
Juma kaseja ana influence gani???? Msuva anavyotupia magoli huko Morocco ina maana hamjamuona???! Amekuwa na misimu mizuri yangu yupo yanga.
Huyo wema nae ni walewale.
In Short ni Tuzo nzuri ila kuna baadhi ya vipengele wamezingua
Unaijua kampeni ya Jokate inavyoinfluence wasichana mashuleni na vyuoni
Unajua product zake zimetoa ajira kwa watu wangapi?
Eti Salim Kikeke naye ni kijana! Mbona sijamuona 'kijana' Le Mutuz? Wapi Makonda? Pia huyo Ian Ferrao ni Mtanzania? Kachukua uraia lini?
😀😀😀 Eti?
Mchango wa Jokate kwa vijana ni mkubwa sana kuliko hata huyo uliyemtaja sema wamekosea kumuweka katika kitengo cha muigizaji, Jokate anajitolea sana kwa hawa vijana wa sekondari mfatilie upate kumuelewa achana na media zinavyomuandika sijui mara leo kapiga picha hii mara kesho katoka na yule wanasahau kazi kubwa anayoifanya kwa vijana wetu.Mnashindwa kumuweka Ontario mnawaweka wapuuzi ambao hawana direct implication kwenye jamii!!!
Hivi huyo Jokate ana movie ipi na ipi??!
Juma kaseja ana influence gani???? Msuva anavyotupia magoli huko Morocco ina maana hamjamuona???! Amekuwa na misimu mizuri yangu yupo yanga.
Huyo wema nae ni walewale.
In Short ni Tuzo nzuri ila kuna baadhi ya vipengele wamezingua