Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Hakika !CHADEMA inazidi Kuwafufua Watanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika !CHADEMA inazidi Kuwafufua Watanzania.
.Vigogo wa ccm. Haya tutakuwepo na vigogo watarajiwa
Usiondoke jf kwa taarifa za uhakikaNdugai atashiriki pia?
Twende kaziKuwa wa kwanza kufahamu kwamba Maandamano yajayo ya CHADEMA kwenye majiji matatu, yatakusanya baadhi ya Watu ambao hukudhani kama wanaweza kuguswa na jambo hili.
Taarifa zinazofichwafichwa zinadokeza kwamba, Wamo viongozi wastaafu wa Serikali, wakiwemo mabalozi, Mashirika ya umma pamoja na vyama vya siasa, kuna uwezekano mkubwa wa Maandamano hayo kuvunja rekodi za maandamano yaliyowahi kufanyika Nchi hii, hasa ukizingatia uwezo mkubwa wa Waandaji kwenye eneo la Uhamasishaji.
Usithubutu kuondoka JF, tutakuwa tuna update hizi taarifa kwa kadri tunavyozipata mpya kutoka kwenye vyanzo vya Uhakika ndani ya Kamati ya Maandamano.
Hahahaa.......Masai kaingia DiscoNdugai atashiriki pia?
CHADEMA ndiyo baba wa kusikiliza kero, sasa CCM wanaigiza bila kutoa wala kumaliza kero zaidi ya Ahadi hewa kupitia katibu muenezi wa CCM
22 October 2023
WANANCHI WAKIELEZA KERO, NA KUDAI WAKIWAAMBIA CCM WANAAHIDI KUMALIZA LAKINI WAMEGUNDUA SI KWELI
View: https://m.youtube.com/watch?v=5_TKAQ9yaHw
Usiondoke jfTunasubiria picha
Mkuu umekufa au uko hai ?Yale ya Dar ulisema zaidinyanhivi na mkaangukia pua!! Kama Dar yalidoda basi mikoani itakuwa ni aibu
Tutakula maandamano sasa, acheni watu wachape kazi na kama hamna cha kufanya msitupotezee muda wa kuleta maendeleo.Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Maandamano yajayo ya CHADEMA kwenye majiji matatu, yatakusanya baadhi ya Watu ambao hukudhani kama wanaweza kuguswa na jambo hili.
Taarifa zinazofichwafichwa zinadokeza kwamba, Wamo viongozi wastaafu wa Serikali, wakiwemo mabalozi, Mashirika ya umma pamoja na vyama vya siasa, kuna uwezekano mkubwa wa Maandamano hayo kuvunja rekodi za maandamano yaliyowahi kufanyika Nchi hii, hasa ukizingatia uwezo mkubwa wa Waandaji kwenye eneo la Uhamasishaji.
Usithubutu kuondoka JF, tutakuwa tuna update hizi taarifa kwa kadri tunavyozipata mpya kutoka kwenye vyanzo vya Uhakika ndani ya Kamati ya Maandamano.
Nchi hii ina maendeleo ?Tutakula maandamano sasa, acheni watu wachape kazi na kama hamna cha kufanya msitupotezee muda wa kuleta maendeleo.