Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Umeandika uongo, uzushi, papa hajaruhusu ila alichosema ukijisema eti shoga ubarikiwe hicho kitu hakipo. Ila media naona wajinga kweli kweli wameamua kupotosha
Acha kujifanya mjuaji wewe ndio ujue kuliko BBC?