Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

hapo wamefungishwa ndoa au wamebarikiwa? Kama baraka fresh tu. Ila kama ni ndoa hiyo ni issue ingine.
 
Aiseee.......... unaweza kuanza kuamini kwamba Vatican ni Satanic camp kama wanavodai wajuzi wa mambo, lilikuwa suala la muda tu mambo yao kuwa wazi
 
Mpaka sasa sijaona kitu special ambacho kinaweza kumfanya Mwanaume timamu kuingia kwenye mahusiano na Mwanaume mwenzake.

Tuweni wa kweli, Mwanamke anaofa vitu vingi kwa bed kuliko hawa wafanyao huu ushetani wa jinsia moja😢

Mungu atupe kujitambua Wanaume 🙏
 
Kafiri povu la nini usijifanye hujasoma huko kanisani hali ni tete MMEAMRISHWA kuwa mashoga!
Hakuna sehemu kwenye Biblia limeelezwa hilo ila katika Hadith ndio imeandika Muddy alikuwa shoga na alimnyonya ulimi na kumramba mdomo wa Al Hassan mwana wa Ali. Hiyo ni ushoga moja kwa moja.

Hadith Idadi 16,245 "Maneno ya Washami. Hadith ya Mu'awiya Ibn Sufyan"- Nilimuona Nabii wa allah(saw) AKIMNYONYA ULIMI na KULAMBA MDOMO wa Al Hassani mwana wa Ali mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna atakayeteswa na moto wa Jehanam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa mdomo na nabii wake".

Hapa hadith inaweka wazi kuwa Muddy alimnyonya ulimi na kuulamba mdomo wa Al Hassani. Je hapa hawakuwa wanafanya vitendo vya ushoga? kwanini anyonye ulimi na kuulamba mdomo wa Mwanaume mwenzake? Aibu hii shehe wangu. Kumbe muddy(56) mme wa Bi. Aisha (9) alimnyonya Ulimi na kuuramba mdomo wa Al Hassan mwana wa Ali tena akiwa Mgonjwa hadi Bwana Hassan akapona ugonjwa wake. 😀😃😄😁😆😅🤣
 
Leo mnamkana papa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hatukumkataa wala kumkana Papa ila tumemkataa na kumksna Muddy aliyenyonya na kuuramba mdomo wa mwanaume mwenzake kama Hadith Idadi 16,245 "Maneno ya Washami. Hadith ya Mu'awiya Ibn Sufyan"- Nilimuona Nabii wa allah(saw) AKIMNYONYA ULIMI na KULAMBA MDOMO wa Al Hassani mwana wa Ali mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna atakayeteswa na moto wa Jehanam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa mdomo na nabii wake".

Hapa hadith inaweka wazi kuwa Muddy alimnyonya ulimi na kuulamba mdomo wa Al Hassani. Je hapa hawakuwa wanafanya vitendo vya ushoga? kwanini anyonye ulimi na kuulamba mdomo wa Mwanaume mwenzake? Aibu hii shehe wangu. Kumbe muddy(56) mme wa Bi. Aisha (9) alimnyonya Ulimi na kuuramba mdomo wa Al Hassan mwana wa Ali tena akiwa Mgonjwa hadi Bwana Hassan akapona ugonjwa wake. 😀😃😄😁😆😅🤣
 
1703276349206.png
 
Mungu asaidie Maana jinsi sisi wanaume tunavyochukia mashoga imagine mtoto anakuwa shoga na kanisa lina mbariki. Mungu tusaidie sisi watenda dhambi.
Wanaume mnachukia mashoga tangu lini?
Akati nyie ndo mabwana zao na mna walala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unafiki unawasumbua, khaaaah
 
Bora tuu nikae tuu nyumbani hii Christmas , hamna kwenda kanisani mkuu , huu ni ujinga kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata miaka yote ukikaa nyumbani kwako, hakuna anaestukaaa. Relaaaaaaxxxxxxx
 
ILA kimukweli ushoga haupendezi kabisaa!!!!!!!
Usipo kupendeza we inatosha, wenzio umewapendeza na kuwakubalii haswaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tangu 2015 Elton John anamsifia Papa Francis .

2015-2023 hapa katikati Papa amesemwa sana kuhusa kulegeza masharti ya kanisa Katoliki.

Mashoga wengi wanaona RC ni kikwazo kwao .
Elton John shoga maarufu alisema"yeye sio Rc ila anatamani kuonana na Shujaa wake yaani Pope Francis.

Kwanini anamuita Shujaaa?

Huyu Pope Ana ukakasi na siku si nyingi atapotea.
 
Back
Top Bottom