Washkaji hawamtaki demu wangu

the mkerewe

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
232
Reaction score
14
Nina madem wanne kwa pamoja ila hawajuani, watatu wanajulikana sana kwa marafiki zangu ni wa hadhi ya juu (wanatoka famila za wafanya biashara.Wa nne anatoka mabibo loyola kwao naamini hawataweza kumudu kulipa bei mpya ya umeme uchumi hoi.kati ya wote WA MABIBO ananidatisha haitaji mitoko mikubwa,kila nguo nikimnunulia inamfaa,hana makuu, ngozi na sauti yake vinaakisi upole alionao,haongea kimashauzi,hukataa jambo kwa hoja sio kwa hulka, huvaa nguo za kumfunika,hupenda kuzibana nywele kwa nyuma, yaani she is natural nikimwona uchovu wa kazi na hasira za mabosi na watawala hiniishuka haraka ila yeye halijui na staki ajue manake atajiskia.Natamani nikampangie chumba ila halikubaliki.NATAKA NIWAACHE HAO WATATU ILA MABESTI ZANGU WANAMKATAA WA MABIBO kisa kwao na siyo aina yetu.UKWELI NIMECHOKA maisha ya kujiachia nataka demu wa kumjali anijali,wa kunizalia na kunilelea na wamabibo ndiye mwenye hiyo sifa hata kama familia yao itajakuwa mzigo kwangu.HAWA MABESTI ZANGU NAFANYA NAO MRADI unaonipa kiburi ya kuishi na kufanya fujo wikiend huku mipango ikisogea
 
mmmh mademu 4?na kama kweli umekubali kubadilika,hongera,umempenda wewe na sio mabesti wako.hata kama hawamkubali wafahamishe kilichokuvutia kwa huyo wa mabibo,na mwanamke uzuri wa mwanamke ni tabia,akiwa na tabia nzuri utaishi nae kwa hali yoyote ile ya maisha.siku unacho,atakuvumilia na siku hunacho atakuvumilia
 

ikumbuke sana nafasi ya washkaji wako ktk maisha yako. wanapokuwa wanakushauri sharti wajenge hoja zenye mantiki kwani kweli kabisa marafiki tunao siku zote, na kila mara wanabadilika kulingana na mazingira unayoingia wakati mke unamchagua pengine ni mara moja tu na ni kwa maisha yako yote: hivyo basi huyo mke ? demu ni wako ww na si ma mabest zako,kikubwa zaidi fuata hisia zako!
 
Wanamkataa kwani mnashare??Maisha ya kwao sio maisha yake...chagua pale roho inapopenda!!Ila wa4 wote?We ni moto wakuotea mbali!
 
Acha UFATAKI
 
we chbokoooooooooo!
wa4 swaafi just bcoz we pia wampenda!!!!!
 
kijana angalia usipate ile FUNGUS kubwa ( ngoma ) punguza spidi .
 
Acha UFATAKI

apana SI FATAKI ITS JUST ALIKUWA ANAFANYA RESEARCH...nw kavumbua namba 4 wa ukweli n nw he z beging for go ahead na tayar nimemwambia aende kwa wa 4 na MTOTO WA KWANZA ATAKUWA WA KIUME ATAZALIWA MAJIRA KM AYA MWAKAN .ROSE KASEMA.
 
umempamba vizuri sana ila nimecheka tu pale kuwa haweza kulipa bili moya ya umeme

you will find a true love when you listen to your heart!
 
In 21st century, somebody is proud of this bullshit... Wake up!
 
Kwani unawaolea washkaji?si wewe umempenda fuata roho inavyosema si washkaji
 

3*4=12 yote haya yanakutoka ukikutana nao wote + 2 ya upendeleo ya wamabibo ....utakufa! cku c zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…