Washukiwa 500 waliokamatwa Tanzania kurejeshwa Mozambique kwa ugaidi

Washukiwa 500 waliokamatwa Tanzania kurejeshwa Mozambique kwa ugaidi

Mozambique watafute sababu ya haya matukio na kuikomesha

Siasa na dini zisitumike kufanya uhalifu Afrika tutamalizana bure. Viongozi wa dini waambiwe ukweli ili wawahubiri wafuasi wao wasitumike

Tunaitaka afrika yenye amani
Popote palipo na rasimali mabeberu hutoa jicho,,tatizo ni gase
 
Popote palipo na rasimali mabeberu hutoa jicho,,tatizo ni gase

Halafu wanajitangaza kuuchukia ugaidi na vitu vinavyofanana na hivyo lakini wanautumia huohuo ugaidi kufanikisha mambo yao
 
Wanamgambo na Wapiganaji, Tena magaidi!
Duuuuuuh!
 
Halafu wanajitangaza kuuchukia ugaidi na vitu vinavyofanana na hivyo lakini wanautumia huohuo ugaidi kufanikisha mambo yao

ndio maana hawatupendi,sababu huwa tunawaona kabla hawajatekeleza wanachokitaka.
 
Hizi dini zinaleta matatizo sana, Kila watu wabaki za dini zao, Waafrika wabaki na dini zao, waarabu pia na wazungu vilevile, kwani zinabeba tabia asili za waanzilishi wa hizo dini. Hasa Africa ikatae kabisa hizi dini za kiarabu na magharibi zinawafanya kuwa watumwa wa akili na pesa.

Pointi kubwa, imefikia waafrika kukataa kwao, mataifa yao, majina ya babu zao, tamaduni zetu na kukimbilia imani na nchi za kusadikika.
 
  • Thanks
Reactions: Lob
Back
Top Bottom